tonetone

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nikija kuoa nitatumia Mfumo wa tonetone kuchangisha Michango ya harusi yangu .

    Wakuu, nikitaka kuoa nitatumia mfumo wa Tonetone katika kuchangisha PESA za harusi yangu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu huu moto wa CHADEMA ni hii tonetone tu au kuna nguvu za ziada?

    Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa. Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Heche yupo sawa na mwenye afya njema, kesho ataendelea na mikutano

    Mjumbe wa kamati kuu Chadema, Godblesss Lema ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa Makamu Mwenyekiti bara John Heche yupo salama na afya njema na kesho ataendelea na mikutano Soma: Pre GE2025 - LHRC: Kukamatwa kwa John Heche sio sawa ni kinyume na haki za binadamu John Heche akamatwa na...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 'No Reform, No Election' ni agenda sahihi Kwa wakati sahihi tuiunge mkono

    Habarini wadau! Hii agenda imekuwa mwiba mkali sana Kwa CCM na machawa wake, wameingiwa mhaho, hawaoni pa kutokea. Kwa kweli wananchi tukiiunga mkono na ikafanikiwa ndio itakuwa mwisho wa hiki chama Cha machawa. Mitandao ya kijamii ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe Kwa wananchi Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…