tone tone chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    PreGE2025 Morogoro: Mkutano wa No Reforms No Election watawaliwa na Mabango ya "Free Lissu" Tone Tone yavunja rekodi

    Hii ndio Taarifa mpya ya Jioni sana iliyotufikia. Mada ni ile ile wala hatuna haja ya kuirudia, Wananchi wote wamekubaliana na Hoja za Chadema kasoro Abood tu Hali ndio kama unavyoona kwenye eneo la Kiwanja cha Ndege, Morogoro Mjini Tone Tone nayo Yatikisa
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Moto wa No Reforms No Election watinga Igima, Mlimba. Wananchi waitika, Heche aongoza Tone Tone

    Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa John Heche ikiwa ni siku ya Kwanza ya Uzinduzi wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.
  3. Erythrocyte

    PreGE2025 Hivi ndivyo Tone Tone inavyotikisa Mikutano ya CHADEMA

    Kitendo cha chama hiki kushirikisha Watu wote kwenye jambo lake ni silaha halisivya mapambano. Angalia hii Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha Godbless Lema na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha Boniyai. Tunaendelea kutunza kumbukumbu. Mpaka sasa Mkoa wa Arusha ndiyo wanashikilia rekodi ya...
  4. Carlos The Jackal

    CHADEMA-Tonetone , Kuna Mbinu nataka niwashauri tena ili Kuongeza mapato ya Chama kupitia Mikutano ya Hadhara!!

    Kama nilivyoandika wakati Fulani kua kwenye Uzi huu kua Pre GE2025 - CHADEMA mnapoteza Mamilioni ya FEDHA kwenye mikutano ya Hadhara, anzeni kupitisha Makapu mikutanoni Mvune Cash !! Naomba Leo nichukue tena nafasi, Kwa Kiongozi wa Chama unayezunguka kwenye mikutano ya NRNE, nitumie Meseji...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Lissu

    John Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Tundu Lissu adai "Tunaendelea na ziara yetu ya No Reforms NoElection"
Back
Top Bottom