Mratibu wa TK Movement Mkoa wa Kilimanjaro, Ahmed Karia amesema kuwa Umoja wa Vijana wa TK, watamtafutia Rais samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM pamoja na Makamu wake Emanweli Nchimbi Kura za Ndio.
Soma pia: BAWACHA: TK Movement ni Jukwaa la Samia na CCM, hatuhusiki...
Taasisi ya Taifa Letu, Kesho Yetu (TK) Movement Mkoa Kagera imesema haitakubaliana wala haitamsikiliza mtu yeyote mwenye kuja na kauli za kuwapotosha wananchi kuwa wasishiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2025
Hayo yamejiri katika Kikao cha Wilaya Bukoba DC kilichowakutanisha...
Naona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk.
===
Mtandao wa Vijana na Wanawake wa Taifa letu, Kesho yetu (TK Movement), Mei 3, 2025 wamekutana mkoani Dodoma ili...
Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Ally Hapi amewasisitiza Vijana kutoka TK Movement kuwa imara na kuepukana na wale wote wenye nia mbaya na Nchi ya Tanzania hivyo amewasisitiza vijana kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotegemea kufanyika hivi karibuni.
TAARIFA KWA UMMA
Baraza Kuu la Wanawake Chadema linawatangazia wanachama wake mambo yafuatayo;
Tumefuatilia kitu kinachoitwa TK Movement na Kujiridhisha kwamba wapo baadhi ya wanachama wetu, wameamua kujiunga na Movement hiyo.
Tumejiridhisha kuwa TK ni Sehemu ya CCM hivyo msishirikiane nao na...
KUNDI la Viana la TK Movement linalofadhiliwa na kulipwa mshahara na Mheshimiwa Huseni Bashe kwa ajili ya kujipanga na mambo ya 2025 (kumzunguka Samia) mbona mko kimya kumsaidia kujibu tuhuma zinazomkabili za kashfa ya kutoa vibali vya sukari kwa kampuni za steshenari na kuuza simu za itel...
TK movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi.
Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa wakipotosha malengo ya vuguvugu hilo huku baadhi yao wakidai Tk movement inaingilia shabaha za Umoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.