Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili
Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amemteua Haji Manara kuwa Msemaji wa Timu za Taifa za Tanzania, akifanya kazi chini ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT).
Waziri Makonda ametangaza uteuzi huo leo Mei 28, 2026, akiwa viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...