TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp π, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! π±π
Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. ππ₯
Na hii ni hatua nyingine ya TikTok...
android
apps
bongotech255
tanzania
teknoloji
teknolojia ni yetu sote
tiktoktiktokkufungiwatanzaniatiktok monetization
voice call on tiktok
π±π²πΏπΆππ²πΏπ
Kama heading inavyojieleza nashindwa kuingia huko TikTok hata nikiwasha VPN.. inaandika no connection
Lakini kwa VPN napata majukwaa yaliyokwisha pigwa ban kama JF na Xtwtitter.
Swali langu TikTok imepigwa Total Ban?!