tiba ya mkojo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Wimbi la watu kudanganyana kuogea mkojo kiafya

    Habari za mchana. Nimekuwa nikikutana na video mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, hususan mtandao unaokua kwa kasi wa TikTok, zinazoonesha baadhi ya watu wakiogeshwa mkojo, wengine wakinywa, na wengine wakiosha miili yao kwa maji yenye chumvi ya mawe. Naomba kufahamu, kiafya hali hii...
Back
Top Bottom