tiba ya asili

  1. JamiiForums Tanzania Hivi mnafahamu kuwa mziki ni tiba ya asili na kwa nini iliitwa Music

    Kila sehemu lazima utasikia watu wakiimba kwanza kabla kufanya mambo mengine. Uwezi kwenda kuomba mizimu,umefiwa,mateso,furahaa,hisia,uzuni, na n.k bila kuimba. mziki ni kujiponesha we mwenyewe au kuponyesha watu na walicho umizwa au kuumwa. Ndio maana mziki unaweza kwenda sehemu yoyote...
  2. JamiiForums Tanzania Tiba ya asili kwa kizazi kilichoshuka

    Heshima kwenu Wana jamvi. Naombeni mnisaidie tiba asili ya kizazi kilichoshushuka(kama tiba ya hospital pia ipo ya tofauti na operation nitajieni) Kizazi kimeshuka kiasi kwamba kuigusa g-spot ni rahisi sana yani tofauti na ilivokua awali.
  3. JamiiForums Tanzania Bei kubwa za dawa Nigeria zimewafanya baadhi ya wagonjwa kugeukia tiba asili

    Gharama za kubwa za baadhi ya dawa nchini Nigeria kiwango ambacho kimepanda takribani mara kumi katika miezi michache iliyopita, kimewalazimisha baadhi ya wagonjwa kupunguza dozi au kugeukia tiba asilia. Maafisa wa sekta ya dawa wamesema kushuka kwa thamani ya Naira baada ya kuondolewa katika...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaotoa huduma za tiba ya asili wanaruhusiwa kujitangaza na wanaotoa tiba za kisasa hawaruhusiwi?

    Nenda radio zote, hasa za mikoani utaona wana vipindi kibao vikitangaza tiba asili na tiba mbadala. Wengi unawakuta wanaelezea magonjwa kama UTI, utasa, nguvu za kiume nk. Wengi wanaelezea kwa uelewa wa kuungaunga na upotoshaji. Sheria ya kutotangaza huduma ya afya iliwekwa kwa ili kumlinda...
  5. JamiiForums Tanzania Comment 1 kwa kina kuhusu Tiba ya Asili ya tatizo lolote, ambayo 100% unahakika nayo kwa shuhuda binafsi

    Habari wakuu, Nimekuja gundua wadau wengi wa JF wanashuhuda za uhakika wa 100% za Tiba fulani za Asili kwa kuwa binafsi au ndugu zao wa karibu walizitumia kutatua Maradhi, Ulemavu au matatizo yaliyowasumbua na wakafanikiwa. Hivyo nachukua fursa hii kumkaribisha yeyote mwenye kujua Tiba Asili...
  6. JamiiForums Tanzania Uuzaji wa mbegu za asili ziitwazo CHIA seeds

    Habarini ndugu, nauza mbegu za asili zinazojulikana kama chia seeds ambazo hutumiwa na binadamu kama tiba ya magonjwa mbali mbali yakiwemo, Magonjwa ya moyo, husaidia kupunguza tatizo la presha, huongeza nguvu mwilini, husaidia kuzuia na kupunguza matatizo ya sukari mwilini, husaidia kuongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…