thibitisha video

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watu wakisafiri kwa kutumia mtumbwi na hatari iliyopo

    Video ambayo imechapishwa mtandaoni ikiwaonesha baadhi ya watu wakisafiri kwa kutumia mtumbwi hali ilyozua mkanganyiko na hatari iliyopo. Katika video hiyo watumiji wengi wa mitandao wameshindwa kutambua kuwa vudeo hiyo imerekodiwa maeneo gani hapa nchini Tanzania au nje ya Tanzania
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii ni Tembo akimuokoa chui kwenye kwenye mafuriko huko Indonesia

    Video imeripotiwa kuwa ni tukio lililotokea nchini Indonesia baada ya mafuriko makubwa ambapo tembo anaonekana akimuokoa Chui kutoka kwenye mafuriko hayo kitendo kilichovutia watu wengi. Je, video hii ni halisi au imetengenezwa?
  3. JamiiForums Tanzania KWELI Eneo iliporekodiwa video hii ni makutano ya barabara Moshi mjini, Kilimanjaro

    Mdau tumia nyenzo za kidigitali kubainisha eneo halisi iliporekodiwa video hii?
  4. JamiiForums Tanzania KWELI Hapa ni Mafinga, wakati wa mvua ya barafu

    Kwa kutumia nyenzo za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa video, bainisha eneo halisi video hii iliporekodiwa huku ukieleza Nyenzo uliyotumia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…