tfra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TFRA: Tumekamata Wafanyabiashara kwa kuuza mbolea kinyume na maelekezo ya Serikali

    Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Kanda ya Ziwa imewakamata wafanyabiashara wawili mjini Bariadi, mkoani Simiyu, kwa tuhuma za kuuza mbolea za ruzuku kwa bei tofauti na ile iliyoelekezwa na Serikali, hatua inayolenga kudhibiti vitendo vinavyowaumiza wakulima na kulinda lengo la...
  2. R

    JamiiForums Tanzania TFRA kuna janja janja sana

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye hoja. TFRA wanaendesha mafunzo kwa wananchi hapa mkoani Iringa kweye ukumbi wa Neema crafts kwa siku 2 yaani tarehe 30 January 2024 na tarehe 31 kwa mujibu wa tangazo lao walieleza mafunzo hayo ni buree. Cha ajabu kufika ukumbini wanaanza kuwachangisha...
  3. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…