tetemeko la ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Pakistan: Tetemeko la Ardhi laua takriban 20 na kujeruhi zaidi ya 200

    Ripoti za awali zinasema takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa kufuatia tetemeko la ukubwa wa 5.7 lililotokea mapema leo Kusini mwa Pakistan. Imeelezwa, idadi kubwa ya waliopoteza maisha ni Wanawake na Watoto ambao walikuwa wamelala. Majengo kadhaa yakiwemo ya...
  2. JamiiForums Tetemeko la ardhi Arusha, kuna mwingine alilihisi?

    Habari wanafamilia wa JamiiForums. Muda 3:48 am kishindo cha kasi sana/ tetemeko la ardhi limepita maeneo ya Arusha. Je, kuna yeyote aliyepo Arusha amelisikia?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…