Tunaweza sema Blackberry imerudi tena Kwa mwaka 2026 🫣 lakini Kwa namna nyingine unajua kwanini??
Kampuni kubwa ya kutengeneza simu zenye muundo wa batani Kwa ajili ya smartphone kama ilivyo Blackberry inaitwa Click Technology imezindua simu mpya inaitwa Communicator 👀.
🔺 Simu hii inatumia...
Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini 🙂.
Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi kuzifunga apps zote alizozifungia kwa wakati mmoja kutokana na Mfumo wa iOS ulioundwa kuweza kudhibiti...
Kama unatumia simu ya android Kuna feature mpya inakuja upande wa phone ambapo Google wametambulisha kinaitwa "Urgent calling" kwenye Simu za Android.
Kupitia skrini ya kupiga simu utaweza kuona feature mpya ya Call Reason - Mark as Urgent inakupa nafasi ya kumjulisha / kumwambia Mtu...
Hakuna Tena kujificha kama unatumia mtandao wa X jua utaweza kutambuliwa😎.
Mtandao wa X (Twitter) imeanza kufanya majaribio ya kuweka kipengele kipya kinaitwa "About this Account" ikiwa na uwezo wa kuonyesha Taarifa nyingi za akaunti Yako.
Taarifa mbalimbali zittaweza kuonyeshwa kuhusu...
YouTube inafanya majaribio ya feature mpya inaitwa "Direct Message" Kwa watumiaji wake kupitia channel zao ambazo wana share video Kwa wengine kuweza kuchati nao Private.
Feature hiyo itawapa watu uwezo wa kuweza kuchati kupitia app ya YouTube mobile Kwa kuweza kutumiana Meseji ndani ya hiyo...
Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone.
Kupitia blogu ya Google, Android waliweza kutambulisha njia mpya Rahisi ya kuweza kutumia QuickShare Kwa...
Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa.
App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa...
🗯️ Moja kati ya simu nzuri iliyotoka mwaka 2019 ni hii simu ya Iphone 11 Series, ni simu nzuri yenye Muonekano bomba, kamera nzuri, ufanyaji kazi wa kipekee unaopelekea simu bado kuwa na Thamani kwa mwaka 2025.
🚀 Unajua kwanini??
🔰 Processor yake ya A13 Bionic bado ina uwezo wa kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.