tehama tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jikuTech

    Kama Hesabu rahisi (Fedha,idadi,muda) za kila siku zina eleweka , Basi hii Hapa ni Mbinu rahisi ya kuelewa Programming Kupitia Websites na Mobile App

    Programming tafsiri rahisi ni kutengeneza programu ,kwamba baada ya kufanya programming ndio inapatikana programu ya kompyuta, undani wa kujua programming ni kufahamu sayansi ya kompyuta. LAI : Maelezo haya ni ya kiswahili lakini kwa neno ambalo hauja lielewa kabla ya kuendelea chukua muda...
  2. jikuTech

    Jiku Tech Tips | Mambo ya SIRI ya TEHAMA

    Kuna Siri nyingi katika Dunia na ulimwengu wote, zilifichwa muda mrefu sana na mataifa machache, lakini muda mrefu ni mrefu kwetu sisi kutokana na ukomo wetu wa muda wa kuishi duniani ila kwa nature (universe ) ni kama usiku na mchana. Siku hizi kuna AI Inakupa hata mambo ya sirini, inakutolea...
  3. jikuTech

    TEHAMA-BAHATI KAMA UKIPATA FOMULA MTAJI NI WEWE MWENYEWE

    Kila mtu ana maarifa kwa asili yake na kwa maisha yake mwenyewe , ila siyo kila mtu atakuthamini kutokana na maarifa uliyo nayo, mtu/watu wa/ajuaye kuhusu uzito,upana na undani wa maarifa yako ndio watakao/atakaye kuthamini kwa kiwango hicho hicho , wata kutazama kwa kiwango icho icho, wata...
  4. jikuTech

    TEHAMA TANZANIA (IT)

    Nianze na Pale Mjini YouTube Uki search " Jinsi ya kutengeneza Software " saaana inakuja Youtube Channel Ya NK -- NK- Computer Training,, kwa wingi sana, na Uki Muuliza ROBOT yoyote au wengine wanasema AI , wengine ChartGPT,, Majibu unayo yapata huko mjini youtube na kwa ROBOT ni tofauti...
  5. jikuTech

    Information Technology(IT-TEHAMA)-06

    AINA ZA KOMPYUTA Aina za kompyuta zinaweza kuelezewa kwa namna mbili kulingana na ukubwa pamoja na uwezo wa kuchakata taarifa kama ifuatavyo Aina Za Kompyuta Kulingana Na Uchakataji Wa Data Analogue Kompyuta Digital Kompyuta Hybrid Kompyuta Analogue Kompyuta Hizi ni kompyuta ambazo utendaji...
  6. jikuTech

    Information Technology(IT-TEHAMA)-05

    AINA ZA UJUZI WA KOMPYUTA Ujuzi wa kompyuta kwa upana unaweza kusemwa kwa namna mbili Moja ujuzi wa kimsingi Pili Ujuzi wa kitaalamu Ujuzi wa kimsingi: Ujuzi huu anahitaji mtu yoyote anaye taka kutumia Kompyuta kwa matumizi madogo madogo kama vile kutuma barua pepe, kutumia mitandao ya...
  7. jikuTech

    Information Technology(IT-TEHAMA)-03

    NINI MAANA YA KOMPYUTA Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa / maagizo hayo chini ya udhibiti wa mipangilio ya maelezo maalum (inayoitwa programu) na kutoa matokeo (pato) na kutunza matokeo hayo kwa matumizi ya siku zijazo...
  8. jikuTech

    Information Technology (IT-TEHAMA)-01

    UTANGULIZI JIKU TECH TIPS ni Software Developer na mkufunzi wa hatua za awali na kati za kujifunza , kufanya na kuishi Tehama ya awali, kati na juu. TEHAMA kirefu cha maneno Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, huwakilisha teknolojia ya kompyuta na mitandao ya mawasiliano. Ili uendelee na...
  9. JanguKamaJangu

    Waziri: Silaa Tunaendelea kuwekeza kwenye TEHAMA

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Serikali imeendelea kuwekeza kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), na kufanya maboresho ya kisera, kisheria na kitaasisi pamoja na kujenga uwezo kwa watanzania, lengo likiwa ni kuifanyia...
  10. M

    Tanzania Tehama inaimbwa lakini vigogo wanaikataa kwasababu inawanyima ulaji?

    Enzi za Anko Magu TRC walikuwa na online system ya kukata tickets, ile system ilikuwa rahisi sana, simple yani unaenda station kupanda train tu. Ukienda kukatia ticket station basi umependa mwenyewe. Mimi mwaka 2017 mpka 2021 nilikuwa muumini sana wa safari za train kama nakuwa sina haraka...
  11. jikuTech

    Ndoto za kuwa mtu flani kwenye Tehama Tanzania

    NDOTO ZA KUWA MTU FLANI KWENYE TEHAMA Kirefu Cha neno Hilo ni Teknolojia ya habari na mawasiliano, taaluma AMBAYO Hadi mwaka huu 2024 hazija waingia watu wengi na waliyo nayo wengi nchini Tanzania ni wa binafsi wa maarifa na wenye kukatisha tamaa wale wanao taka kujifunza. Na hii ni sifa...
  12. Cute Wife

    Duniani nzima imetetereka leo kutokana na hitilafu ya mtandao kwenye kampuni ya Microsoft, Tanzania tumejifunza nini?

    Wakuu, Tunategemea mambe mengi toka kwa Wazungu, leo mifumo ya Microsoft imesumbua mambo mengi yamesimama, wote wanaotumia products za Microsoft wametikiswa na suala hili, swali ni je, sisi wategema wa Wazungu tumejifunza nini? Tunafanyaje kupata ujuzi huo na kuanzisha vya kwetu? Tuna program...
Back
Top Bottom