• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

teamrene

  1. TeamRene

    Kwa Mahitaji ya Tovuti/Website(Blog, Portfolio, Directory, E-Commerce Store, Membership na/ Online Presence Site)

    Habari wanaJF, Kama kichwa hapo juu kinavyoeleza, na pia kama wewe unauhitaji wa website ya kisasa na ya kipekee;(Yenye Personal Touch) basi hii inakuhusu. Kuna aina nyingi za tovuti na ili kupata ile inayokidhi mahitaji yako utabidi ufahamu zinatofautiana vipi, na labda umuhimu wake. Blog...
  2. TeamRene

    Hellow! Ni TeamRene na Ninaomba Ukaribisho Wenu

    Habari wanaJF! ni TeamRene nakamakichwa kinavyosema naomba ukaribisho wenu. Nimekuwa mtumiaji wa JamiiForums kama Guest(Mgeni) na hii ni kwa kuwa nimekuwa nikitumia JamiiForums kujifunza mambo kadhaa. Nimechukua hatua hii ambayo ni ya kawaida ili kwa namna moja au nyingine niweze kuchangia kile...
Top