team kataa ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Paspii0

    Team kataa Ndoa, nawaasa msikatae maarifa!

    Napenda kuchukua dakika chache, kabla hamjaruka tena kwenda "self-care vacation" Zanzibar, kuwaeleza maneno machache yenye uzito wa mawe ya Mbudya kisiwani na utani wa nyanya wa Tandale. Tumejua mnaendelea kukataa ndoa kwa visingizio vya; Wanaume wote ni mbwa 🙄 Wanawake wa siku hizi wanapenda...
  2. Friji la mtumba

    Team kataa ndoa mnasahau kwamba hata simu mpya ina matatizo yake?

    Watu wa “sitaki ndoa, sitaki stress, nataka amani” mnasahau kitu kimoja muhimu: Hata ukiamua kubaki single, maisha hayana warranty ya furaha ya kudumu. Mnasema ndoa ina kelele? Basi tuambieni single life haina shida ya upweke usiku? Au haina pressure ya kulipa kila kitu mwenyewe...
  3. Friji la mtumba

    TEAM KATAA NDOA – Ulevi wa Ubinafsi Usio na Maono

    Ni ajabu sana kuona kizazi kinachojiona "kimeamka" kikikumbatia falsafa ya ubachela kana kwamba ni mafanikio ya juu kabisa ya maisha. Team Kataa Ndoa wamechagua njia rahisi ya kuepuka majukumu, wakijificha nyuma ya visingizio vya uhuru, starehe, na "kupambana kivyao." Je, kweli wana akili...
  4. Ndengaso

    Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

    Rejea kichwa cha habari.
  5. Liverpool VPN

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania Ndoa ya mke mmoja na mume...
  6. Mindyou

    Kataa ndoa hii tafiti mpya mmeisikia? Vijana ingieni kwenye ndoa muepuke uchizi

    Team Kataa Ndoa Mpo? Sidhani kama kuna haja ya kusalimiana. Kama kuna mtu ana lolote anaweza akasema linalomsibu kwenye nafasi niliyoiacha hapo juu. Najua humu jukwaani kuna movement ya Kataa Ndoa. Itoshe kusema kuwa kutokana na research iliyofanywa nimefahamu kuwa watu wengi ambao ni team...
Back
Top Bottom