Ndugu wanasheria wote mlioko humu naomba mnipe muongozo juu ya jambo hili kwani kila kitu kipo wazi toka September jukwaa hili lilifungwa na December hii ilitakiwa lifunguliwe lakini bado.
Sasa kama JamiiForums ilitimiza hukumu na sisi Wanajamiiforums, TCRA haijatimiza wajibu wake hvyo kuna...
Salaam waungwana, Moja kwa moja namshukuru Allah kwakuendelea kutuweka salama mpaka Sasa.
Na pili namshukuru kwakutupa hiki kichwa Maxence Melo na kuendelea kukilinda. Napendekeza JF kama organization iende mahakamani kuishitaki serikali mara baada ya kufungia JF isivyohaki kwa siku 90...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.