Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos ametoa wito kwa viongozi wenzake kuutumia mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kusaidia wanachama wao hasa wanapopata matatizo.
Mbunge Tauhida Gallos Ameyasema hayo tarehe 24 Machi, 2024 katika Wilaya ya Magharibi A wakati...