Habari wana jamii forum naomba kupewa mawazo juu hali nilonayo moyo huwa unaniruka na baadhi ya muda kushtuka ata km hakuna kitu cha kushtuka hii inatokana na nini?ahsanteni
Habari ndugu na dada zangu.
Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika kibao kisha nalala .Kuamka saa moja asubuhi.Aisee!
Basi wiki hii nineshtukia afya yangu haiko...
Wakuu habari, nilienda hospitali,
Ila doctor nilivomuelezea kuwa nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo , walifanya x ray, ila haoni kitu, nikapewa dawa za maumivu nitatumia 2 weeks, akasema kam hali itaendelea basi nirudi tena pale.
Ila pia muda mwngine nahisi maumivu hadi upande wa kulia...
Sijui kama nina tatizo la moyo au vipi?
Nina pata maumivu makali katikati ya kifua au kwenye kifua upande wa kushota pale ninapo lalia kifua au kulalia mgongo kwa masaa mengi zaidi.
Au nikinyanyua kitu kizoto Na kukaa chini kwa mda mrefu pamoja Na kusimama kwa mda mrefu. Na maumivu hayo Mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.