tatizo la maji kibaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Tatizo la Ukosefu wa Maji Kibaha kwa Mfipa; Mtaa wa Simbani

    Tatizo la maji kwa sisi wakazi wa Kibaha – Mfipa, mtaa wa Simbani limekuwa kubwa sana. Maji yanatoka mara moja au mbili tu kwa wiki tena usiku wa manane wakati tumelala , na wakati mwingine hayatoki kabisa. Hii inaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi. Maji ni hitaji la msingi kwa maisha ya kila...
  2. N

    KERO Responded DAWASA Kibaha nini tatizo? Hakuna Huduma ya Maji wiki ya pili, hayo mabomba mabovu hayatengenezeki?

    Wiki mbili zilizopita kulitokea changamoto ya bomba la maji kupasuka maeneo ya Maili Moja – Kibaha, hali hiyo ikasababisha maeneo mengi kukosa maji, tuliporipoti DAWASA – Kibaha kila siku wakawa wanatuambia wanarekebisha lakini bado huduma hazijarejea. Hali hiyo inatupa changamoto kubwa Wakazi...
Back
Top Bottom