Nimekuwa nikikutana na changamoto ya kupata internet. Account iko paid, connection zote zipo sawa.
Nikipiga simu naambiwa ni tatizo la kiufundi.
Naomba kujua kama na nyie mnakutana na changamoto kama hii na jinsi ya kuiondoa
GT
Majira ya sa tisa kama na nusu hivi Internet kama ilikata mpaka saa kumi na moja alfajiri
Siyo Internet tu lakini hata simu zilikuwa hazitoki. Niliogopa na kufurahi kwa wakati mmoja nikahisi labda Bi kidude kaenda kusalimia malaika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.