Hellow guys, nimeona files kwa ajili ya wanaohitaji nafasi za Usimamizi wa Uchaguzi katika vituo vya kupigia kura nimeona za majimbo mbali mbali tz na dar pia nimeona za ilala,segerea,kigamboni,ukonga etc ila za kinondoni na ubungo sijaona ..please kama kuna mtu anaweza iweka huku please naomba...