tanzania mpya

Mji Mpya is an administrative ward in Moshi District of Kilimanjaro Region in Tanzania. The ward covers an area of 1.4 km2 (0.54 sq mi), and has an average elevation of 818 m (2,684 ft). According to the 2012 census, the ward has a total population of 15,293.

View More On Wikipedia.org
  1. Maoni ya Pendekezo la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.(Katiba iliyokamilika yote na yenye ujumbe mzito mno) 🇹🇿✅ Tafadhati Usipuuze

    Habari ndugu zangu wa Tanzania. Kwa jina la Hifadhi au Kificho naitwa Mr. X, na napenda kujitambulisha kwa jina hilo huku nikificha taarifa zangu zote za elimu, umri, na anuani ya makazi. Hata hivyo, niweke wazi tu kwamba mimi ni Mtanzania mwenye asili ya Tanganyika. Nina jambo muhimu sana...
  2. PostGE2025 Je, wajua? TCRA kuzima mtandao ni ukiukwaji wa katiba kutoka ibara ya 18: haki ya kutafuta, kupokea na kutoa taarifa bila mipaka

    JE WAJUA?Kuzimwa kwa mtandao ni kizuizi cha haki za msingi za wananchi na uhuru wa kupata taarifa.Vifungu vya Kitaifa: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ✅Ibara ya 18 – haki ya kutafuta, kupokea na kutoa taarifa. ✅Ibara ya 20 – haki ya kushiriki katika shughuli za umma. ✅Sheria ya...
  3. PostGE2025 Nguvu ya Wananchi Kwenye Giza la Uchumi: Tumaini la Tanzania Mpya

    Hali ya sasa imefika mahali ambapo moyo wa kawaida umeshindwa kubeba. Tumekuwa tukipambana, tukitafuta angalau mwanga mdogo ili tuendelee kuishi, lakini ukweli mchungu ni kwamba hatuoni huo mwanga tena. Kwa sisi tunaoishi kwa kutegemea utalii maisha yamekuwa kama kupita kwenye jangwa bila hata...
  4. Maandamano ya Oktoba 29 yamezaa Tanzania Mpya. Kwa sasa tunafagia fagia vitakataka vilivyobakia

    Hivi Mnajua kama tusingeandamana Oktoba 29, hali ingekua mbaya kupindukia??. Target yao ílikua ni Wakishajiteua hiyo Oktoba 29 , wangeanzisha huo upuuzi wa Maridhiano, alafu kwenye huo Upuuzi wao, Wananchi Mtake au Mistake wao wangesonga mbele Kwa Jeuri na Dharau kubwa. Sasa MAANDAMANO YETU...
  5. Picha: Mawaziri wapya wakiwa wanakula kiapo - Tanzania mpya yenye maendeleo makubwa hii hapa (Watanzania wa kweli wanaipenda)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wa Wizara mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.
  6. Wakati wa Mabadiliko: Wito wa Serikali ya Mpito kwa Ajili ya Tanzania Mpya

    Ili Tanzania irudi tulipokuwa nchi ya amani, utu na heshima tunahitaji kwanza kuwa na Serikali ya Mpito (Interim Government). Hii ni kwa sababu kile kinachoitwa serikali ya sasa kimekuwa chanzo kikuu cha migogoro, mateso na maumivu makubwa kwa wananchi. Kwa muda mrefu tumeona na kushuhudia...
  7. Tanzania mpya: Chama cha Mapinduzi (CCM) kifutiwe usajili Tanzania

    Tumefika hapa tulipo ni kwasababu ya CCM. Chama hichi kimeshapoteza misingi yake na dira, viongozi wanauana kwa sumu, utekaji na mauaji, ukandamizaji wa haki, ufisadi wa kufuru, yaani yale yaliopo kwenye kitabu cha msajili wa vyama kuhusu hichi chama yamekiukwa na inapaswa kufutiwa usajili pale...
  8. GE2025 Asalaleee Tarehe 29 Oktoba ni Tanzania Mpya !!! No more Wahuni, No more Watekaji, No more CCM , No More Wanamtandao!! Ni Tanzania Mpya

    Wakuuu , Acheni hawa Wapuuzi wawateke watu waloamua kuelezea Hisia zao Mtandaoni !!. Waacheni Waendelee kumsumbua LISSU na kesi ya mchongo !!. Nguvu yao Iko wazi , Hawana Nguvu Tena , Tumeshawajua wote Kwa Mihuri yao !!. Sisi Nguvu zetu haziko Wazi ila ni nguvu DHAHIRI , PAWA KWELIKWELI...
  9. H

    GE2025 Watanzania mkitegemea dini hamtayaona mageuzi kamwe!!

    Dini ndiyo silaha kubwa ya mafisadi na ndiyo chanzo cha uoga wa kijinga wwakitaka fedha mnaambiwa mkafanye kazi ili mpeleke sadaka na kodi ila mkitaka mageuzi mnaambiwa liombeeni taifa na mtii mamlaka. Kwa ujinga wa dini hizihizi hamtoboi kamwe huko Nepal wameweka dini na maombi pembeni...
  10. Lissu anabidi kupewa jina la Yusufu kwakuwa huyu Lissu ndo mbeba maono wa Tanzania Mpya

    Lissu ndo Mbeba maono wa Tanganyika . Kwahiyo tuendelee kumuombea bila kuchoka na nimempatia Jina la Yusufu.
  11. TUNDU LISSU: Safari ya Mchoma Mwiba wa Mfumo, Msimamo Usioyumba, na Ndoto ya Tanzania Mpya

    Tundu Antiphas Mughwai Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 katika kijiji cha Mahambe, wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida. Alikulia katika familia ya kawaida ya wakulima, ambapo maadili ya elimu, nidhamu na haki vilikuwa msingi wa malezi yake. Elimu yake ilianza Mahambe Primary School...
  12. T

    Lissu na wengine ni Tanzania Mpya heros. Vizazi vitawatambua hivyo.

    Salaam! Miaka mingi sana sijaandika. Nipo busy ughaibuni. Lakini, leo nimelazimika kuandika ili kuwasihi. Nikiwa huku nilipo napata wasaa mzuri wa kuona siasa za Tanzania na uelekeo wake kwa ujumla. Tanzania inakwenda kubadilika kwa mara ya kwanza tangu ianzishwe. Mikononi mwa Rais Samia...
  13. Hotuba za Luhaga Mpina na Tundu Lissu, zimetuonyesha watanzania Umuhimu wa Katiba mpya Ili kuipata Tanzania mpya

    Ukweli ni kwamba ,hata uwe mwanaCCM kindakindaki kama una akili huwezi kufurahia mambo yanaendelea nchini. Sasa CCM mtaamua wenyewe, Kuendelea kukumbatia 'Majuha' na kuwapuuza watu aina ya Mpina, Bashiru n.k Kwa kisingizio cha Sukuma Gang ili mwisho wa siku muwe ni sikio la Kufa. Lissu yupo...
  14. Kupitia Botswana na Msumbiji naiona Tanzania mpya kabla sijatoweka.

    Kwa wakongwe kama mimi, wanajiuliza, nini tutaona mageuzi ya maana na ya kweli. Walipofanya kweli Kenya, Malawi, na Zambia tulidhani ni wimbi na wingu vya kupita. Juzi tu, tuliona moto wa mageuzi na mapinduzi ukiwashwa kule Afrika Kusini ambapo ANC iliponea chupuchupu kujikuta pakanga. Kalba...
  15. Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

    Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya. Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia . Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi...
  16. SoC04 Tanzania mpya: Kutumia teknolojia ya Blockchain kukabiliana na Ufisadi serikalini na TRA

    Katika habari za hivi karibuni, kuna skendo kubwa imetikisa sekta ya fedha ya Tanzania. Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alihusishwa na wizi wa fedha za serikali, kiasi cha zaidi ya TZS 3.8 bilioni (takriban USD 1.6 milioni). Skendo hii imesababisha wasiwasi kuhusu usalama na uadilifu...
  17. SoC04 Tanzania Mpya: Nchi itoayo fursa kamili kwa mtoto wa kike kutimiza ndoto zake bila vikwazo

    Utangulizi Watoto wa kike nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika safari yao ya maisha. Changamoto hizi huanzia chini kabisa kwenye malezi na ukuaji wao na huzidi kuibuka kadiri wakuavyo katika nyanja mbalimbali kama elimu, jamii, uchumi, na uongozi. Hali hii hupelekea...
  18. SoC04 Tanzania mpya yenye uchumi Bora uliochangiwa na uingizwaji wa kimkakati wa teknolojia mpya

     Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, ikiwemo upungufu wa kibiashara(yaani trade deficit) ambayo kwa sasa inafikia karibu 6% ya Pato la Taifa. Kulingana na takwimu za hivi karibuni, mauzo ya nje(Exportation) yanachangia takribani 17.4% ya Pato la Taifa la Tanzania, huku...
  19. SoC04 Tanzania tuitakayo ni mapinduzi ya teknolojia na kuunda vyombo vya moto vyenye label ya 'Made in Tanzania'

    Ili kufikia maono ya "Tanzania tunayotaka ifikapo 2040," ya kuweza kuunda vyombo vya moto nchini Tanzania serikali inaweza kuchukua hatua kadhaa za kimkakati kusaidia wabunifu wanaotengeneza helikopta kwa kutumia injini za magari na magari kwa kutumia injini za pikipiki. Hatua hizi zinapaswa...
  20. SoC04 Tanzania mpya: Kuanzisha chuo maalumu kitakachotoa taaluma kwa dada wa kazi za nyumbani

    TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI. Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa na wazazi wao wote wawili hasa mama ambaye muda mwingi alikua nyumbani. Na katika malezi haya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…