Palestine–Tanzania relations are the bilateral relations between Palestine and Tanzania. Tanzania and its ruling party are staunch supporters of the establishment of a Palestinian state. A close connection was developed between Yasser Arafat and Julius Nyerere, the president of Tanzania. One of the earliest in Africa, the embassy of Palestine in Tanzania was opened in 1973. During the Uganda–Tanzania War, Palestinian fighters supported the Ugandan side.
Moja ya kiongozi wa Kundi la Tanzania Freedom Fighters(TFF) amefafanua na kueleza maana halisi ya kundi hili
Amesema TFF ni kundi la wananchi wa Tanganyika Wazalendo na sio kundi la kigaidi au la uasi kama wanavyosema Jeshi la Polisi.
Aidha amesema kindi hili limezaliwa baada yaliotokea Oktoba...
Wakuu,
Naona Jeshi la Polisi linatumia nguvu sana kukanusha uwepo wa kundi hili la Tanzania Freedom Fighters badala ya kutuoneyesha wamefanya nini kuwakamata/kuwadhibiti na kurejesha 'amani' nchini.
Ni kama vile wanajaribu kuficha kuliko kudili na tatizo! Baada ya ile clip ya kwanza kusema...
Hali ya usalama imeanza kuzua wasiwasi kwa baadhi ya wananchi kufuatia taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kundi linalojiita TFF (Tanzania Freedom Fighters). Taarifa hizo zinadai kuwepo kwa vitisho vinavyolenga baadhi ya viongozi wa CCM hususan wa ngazi za chini katika jamii pamoja na polisi...
Serikali ya Tanzania kama kawaida yake wanachukulia vitu pooa. Ata kabla ya tarehe 29,walikuwa wanabwatuka Kwa kejeri, dharau na masimango kuwa hakuna atakae andamana ila tarehe 29, tulishuhudia nchi ikipigwa kiberiti haijapata kutokea.
Sasa hivi Kuna kikundi kinaitwa TFF...
Nimeona video kiongozi wa kikundi Cha uasi Cha kutetea raia akitoa tamko dhidi ya serikali haramu ya tanzania hususani kwawataja sana polisi aisee kumeanza kuchangamka ni moto hii ni screenshot video ipo kwenye hiyo page Instagram ni moto kiongozi ameomba wananchi wakipokee Kwa mikono miwili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.