Tandahimba is one of the six districts of the Mtwara Region of Tanzania. It is bordered to the east by the Mtwara Rural District, to the south by Mozambique, to the west by the Newala District, and to the north by the Lindi Region.
According to the 2022 Tanzania National Census, the population of the Tandahi
mba District was 299,073.
Watumishi wa Umma tumefunguliwa Mfumo wa ESS ambao tumeambiwa ndio suluhisho la Watumishi lakini mfumo huu bado ni changamoto, Mtumishi anaomba uhamisho kwenye mfumo mpaka unafika TAMISEMI halafu baada ya hapo status inafutika.
Hakuna majibu yoyote ukiuliza TAMISEMI wanasema barua zimetumwa...
Malalamiko kuhusu utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba
Wananchi tunalalamikia hali ya utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba, kwa kuwepo kwa vitendo vinavyoashiria udanganyifu, hususan kwa akina mama wajawazito na watoto wenye umri wa...
Anonymous
Thread
dawa
halmashauri
hospital
hospitali
huduma
malalamiko
tandahimba
wilaya
Naomba mamlaka husika zichunguze huduma za vyeti mtandaoni katika Wilaya ya Tandahimba. Niliomba cheti cha kifo tarehe 11 Juni 2026, lakini hadi leo 8 Julai 2026 sijakipata, na status ya maombi haibadiliki hadi mwombaji aende ofisini.
Pia, kuna taarifa kutoka kwa wananchi kwamba kwa sasa...
Anonymous
Thread
huduma
kilio
mtandaoni
ofisi
ofisi za rita
rita
tandahimba
vyeti
wananchi
wilaya
Halmashauri ya Wilaya Tandahimba Ajira Mpya wengi wetu hatujapewa fedha zetu za kujikimu tangu tu report kazini Mwezi January 2026. Tunapouliza jibu huwa ni moja kuwa “Tunalishughulikia” bila matokeo yeyote.
Miundombinu ya Shule ya Msingi Namahonga iliyopo Kijiji cha Namahonga, Kata ya Maundo, Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara ni mbaya kiasi kwamba wakati wa mvua baadhi ya Wanafunzi wanapewa ruhusa ya kubaki nyumbani.
Wanafunzi wanasoma wakiwa wamekaa chini, hawana madawati, mara kadhaa...
Anonymous (ca61)
Thread
madarasa
mvua ikinyesha
shule ya msingi
tandahimba
wanafunzi
Hili kundi bado lipo nyuma sana kifikra.
Wapo bize hapa wamejazana kwa Mtendaji Kata warudishe barua za maombi ya kusimamia Uchaguzi Mkuu.
Naambiwa leo ndio mwisho, kwanini kada nyingine hazijichoreshi namna hii kama hawa ndugu zetu?
Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa.
Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameamua kuifungua mikoa ya Kusini kiuchumi kwa kutenga kiasi cha Shilingi Bilioni 234 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya kiuchumi yenye umbali wa...
Baada ya miaka 16 ya kutembea kilomita 40 kutafuta huduma za afya, wananchi wa vijiji vitatu wilayani Tandahimba mkoani Mtwara hatimaye wamepata suluhisho.
Kituo cha Afya cha Maheha kilichogharimu shilingi milioni 400 sasa kimeanza kutoa huduma na wananchi wengi hususan wanawake wamejitokeza...