Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linaendelea na Upelelezi wa tukio la kupotea kwa Padre Camillus Nikata wa Jimbo kuu Songea ambaye pia ni Mhadhili wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT) Mwanza.
Akiongea Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamisha Msaidizi Mwandanizi wa Polisi (SACP)...
Baada ya kuwepo kwa malalamiko na mashauri mengi kuhusu uhalali wa Jeshi La Polisi Tanzania kuzuia maandamano nchini hatimaye Jeshi hilo limeamua kutoa ufafanuzi kuhusu sakata hilo.
Tamko hili la Jeshi La Polisi linakuja siku chache tangu Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.