tambiko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KING MIDAS

    Tambiko rahisi la kujizindika mwili wako unaloweza kuzindika wewe mwenyewe ukiwa nyumbani

    Hii hapa ritual rahisi ya kujisafisha kiroho nyumbani – salama, ya asili, na yenye nguvu ya kiroho: --- VITU UNAVYOHITAJI: 1. Chumvi ya kawaida au ya baharini (chumvi huchukua nishati hasi) 2. Maji safi 3. Mafuta ya mkarafuu, mizeituni, au lavender (kama unayo) 4. Mshumaa mweupe (ishara ya...
  2. McLaren

    GE2025 Mgombea Ubunge wa CCM Mvomero apigwa tambiko na wazee wa Kiluguru

    Wazee wa kimila wa kabila la Waluguru, Kata ya Mlali wilayani Mvomero mkoani Morogoro, wamefanya matambiko maalum ya kimila kwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Sara Msafiri na Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Frank Mwananziche, wakidai ni kwa ajili ya kuwalinda...
  3. Y

    Tambiko la UVCCM Mtwara ni ibada

    Naam habari za wakati ! Tambiko ni ibada maalumu ya jadi inayofanyika ili kuomba jambo fulani toka kwa nguvu zisizoonekanika kwa macho ya kibinadamu, watu wengi hupendelea kuita nguvu hizi mizimu. Inasemwa kuwa, wakati mwingine matambiko hufanyika ili kuituliza mizimu hiyo inapokuwa...
  4. Tauceti Rigel

    Usipokuwa Muangalifu, Mchungaji Wako Anaanza Kufanana na Mganga wa Kienyeji

    Katika dunia inayojaa changamoto zisizokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, ndoto zilizokwama—watu hutafuta suluhisho kwa njia mbalimbali. Wapo wanaotumia akili zao kutafuta njia halisi za kujinasua, na wapo wanaotafuta muujiza wa papo kwa papo. Kundi la pili mara nyingi huishia...
Back
Top Bottom