taifa stars vs morocco

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    PostGE2025 Zungu: Tunakosea kulinganisha matokeo ya Taifa Stars na uchaguzi wa Tanzania

    Kwenye ukurasa wake wa Instagram Zungu anasema: Wanangu wa Upinzani sio kila kitu mnaweza kubeba kama ajenda msifanye hivyo 🙏yani kila kitu hata kama ni kizuri baadhi yenu mnajaribu kubadilisha ajenda kwa maksudi kabisa daah 😭😭😭 Hii timu sio ya Ccm wa Chadema ni ya kwetu Watanzania acheni hizo...
  2. Tembosa

    FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

    Mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco katika hatua ya 16 Bora ya AFCON 2025 unapigwa leo Januari 4, 2026, katika Uwanja wa Prince Moulay Abdellah, Rabat, Morocco. Huu ni mchezo wa kihistoria kwa Taifa Stars ambao kwa mara ya kwanza wamefanikiwa kufika hatua ya mtoano katika michuano ya Kombe la...
Back
Top Bottom