Malipo yanacheleweshwa hii ni baada ya taasisi kurudishwa Serikalini project haziendi kama inavyotakiwa. Pesa zake zinachelewa, waajiriwa wapya mpaka wameondoka miezi 5 hawajalipwa.
Alikuja mkurugenzi akaahidi kulifuatilia mwezi sasa umekata hakuna kilichoendelea.
Wafanyakazi hatulipwi kwa wakati na wapo walioingia kazini Nov. 2025 hawajalipwa mpaka imebidi waondoke na ni vijana waliotoka chuo, wanaishije?
Alikuja Mkurugenzi wa land planning somebody Mdeke aliahidi kufanyia kazi ila hamna lolote lililofanyika. Kama hawatawaajiri kama waliavyowaahidi basi...
Position: Accounts Assistant (3 posts)
Reports to: Zonal Programme Manager
Location: Bukoba-Maruku substation, Kigoma-Mwayaya substation and Tarime-Sirari substation
Roles and responsibilities:
Collect revenue and issue receipts to various stakeholders
Prepare payments and ensure arithmetical...