tabia za wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Naomba kufahamu sifa na tabia za wanawake wa KIIRAQ /MBULU na WARANGI

    Ndugu zangu, Naamini mnaendelea vema. SAMAHANI KAMA NITAWAKWAZA: Naomba msaada wenu kwa anayejua kuhusu SIFA NA TABIA za wanawake wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao WARANGI. Na pia naomba ushuari wa namna bora ya kuishi nao ikitokea mtu anao mwanamke wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao...
  2. M

    Tabia za wanawake wa Kilimanjaro

    1. ROMBO a. Wachapa kazi - bulldozer b. Wana upendo c. Wabunifu sana kimaendeleo d. Wana heshimu ndoa e. Ulevi - hadi gongo na konyagi f. Ushamba g. Hawajui kupika h. Wizi - Mnaposikia wachaga ni wezi basi mjue Mrombo ndie MASTERMIND. Hivyo ukioa Mrombo ujue hela kupotea ndani ni kawaida tu...
  3. M

    Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

    Wakuu nipokisiwani ukanda wa ujitani,naomba nikili wazi kwa bongo bongo kama hujawai umana na penzi la kijita wewe Bado sana,wakuu hizi jita's ladies ni mtu na nusu,zinajua si kitoto Wakuu kunamtoto wa kijita nimemuelewa sana,naplan awe my dear wife. Wakuu nipen zile code za ndani kabisa,maana...
  4. Tabia za wanawake "choka mbaya" wa bongo

    Heshima kwenu wakuu wa Jamiiforums! Kama kawaida, dunia haina usawa, ila kuna viumbe ambao wao wanaamini wameumbwa tofauti na sisi wengine. Hapa sizungumzii malaika au miungu, hapan naongelea wale mademu choka mbaya wa Kibongo! Yaani, wadada hawa si wa kawaida kabisa. Wakitembea, ni kama ardhi...
  5. Wanawake tabia yenu ya kujipikilisha haifai

    Huwa nachukukizwa na tabia ya wanawake ya kujipikilisha unakuta mtu anapika wali na nyama masaa kibao mpaka unashangaa. Hii tabia inaboa sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…