hawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Huenda ni kwasababu ya nidhamu ya uwoga na ujinga ndio sababu tumekuwa watumwa wa kifikra,
Mapokeo mabovu ya kidini na Waalimu wanafiki ndio wametufikisha hapa tulipo leo katika fikra za kila mmoja wetu..
Ni maswali kuhusu huyu Mungu na nini anakifanya kwetu hadi sasa.
Tabia
Wajinga wengi...
Ieleweke hivyo.
Kutafuta visingizio eti kwa sababu ya ugumu wa maisha nikajikuta nimekuwa jambazi au Malaya hiyo ni tabia yako tu hata ungekuwa na hela tamaa ya wizi isingekutoka.
Mifano ni mingi sana watoto wakike wengi wamezalishwa ovyo kwa tamaa ya kuwa na I phone au simu kali kali siyo...
Habarini,
Yaani unampigia mtu simu kuongea labda maswala ya kazi amapokea simu huku akiwa anakula na kuendelea kuongea huku likitafuna chakula ni tabia ambayo inakera na siyo ustarabu.
Kwani ukipokea simu ukatuma sms ukaomba akupigie simu badae kwakuwa unakula kuna shida gani???
Ebu...
Sio mwaandishi mzuri ila nimesoma.
Mazingira ni kichocheo kimona wapo cha tabia ya mtu hivyo alivyo ni kutokana na mazingira yamemfanya hawe ivyo alivyo.
Kuna watu tunawalaumu watu kuwa wanatabia mbovu ila ni kwamba tabia walizo nazo ni mazingira yamewashape ivyo.
Nini nataka kusema just...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.