Mhadhara - 42:
Kuna watu katika jamii wana tabia zinazofanana na hawa wanyama/wadudu.
1. PIMBI (Harakati zisizo na maana) - Wapo watu ambao wanaweza kufananishwa na pimbi. Ukikutana nae barabarani yupo race utafikiri anakwenda kuokota burungutu la hela, lakini hana anachokiwahi, busy for...