Wakuu,
Dunia ya sasa ipo kiganjani mwako, lakini je, kila unachokisoma au kusikia ni cha kweli?
Shiriki nasi katika Mjadala wa "Mchakato wa Kuhakiki Taarifa Kwenye Vyombo vya Habari, Unaendana na Kasi ya Kuenea kwa Taarifa Potoshi" kupitia Instagram Live ya JamiiForums.
Mjadala huu...
Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
jamiicheck
kufanya maamuzi
serikali za mitaa
serikali za mitaa 2024
taarifapotoshitaarifa sahihi
uchaguzi
upotoshaji
upotoshaji 2024
vyama vya upinzani
wananchi
Vyombo vya habari vina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi na kwa wakati ili kuchochea maamuzi sahihi sambamba na uwajibikaji. Wajibu huo unaweza kufanikishwa kwa kupambana na kuzuia taarifa potoshi zinazosambazwa ndani na nje ya mtandao.
Salome Kitomari mhariri wa gazeti la...
Hii ni sehemu sahihi ya kuwekeza, au ni upigaji mpya.
=================
Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu (Key word search) umejiridhisha kuwa video hiyo imepotoshwa kutoka kwenye video halisi ambayo ni sehemu ya matangazo mbashara ya kipindi cha...
Umewahi kukutana na mazungumzo mtandaoni yaliyo katika ujumbe mfupi yakihusisha watu maarufu au viongozi wa kisiasa mathalani kutoka makundi sogozi ya Whatsapp?
Je, umewahi kujiuliza kuhusu Uhalisia wake?
Usiwe mwepesi wa kuamini maudhui kama hayo kwani teknolojia ya Akili Mnemba inaweza...
Naomba na kuipigia magoti serekali yetu juu ya wanasiasa kutamka mambo ya uongo hadharani yenye nia ya kudanganya umma basi sheria kali zichukuwe mkondo wake mara moja Bila huruma yoyote,
Nimesikitishwa sana na matamshi ya HECHE, kuusiana na uwanja wa ndege wa kilimanjaro ya kuwa umechukuliwa...
Katika kipindi cha uchaguzi Taarifa za uzushi hutengenezwa kwa kiwango kikubwa na kusambazwa kwa njia mbalimbali ikiwemo kupitia mitandao ya kijamii.
Taarifa hizo zinaweza kuhususisha sauti, video, picha na maandishi mbalimbali huku ikidaiwa kuwa imetolewa na mwanasiasa fulani ama zinamuhusu...
Wakati nyakati za Uchaguzi zinapokaribia ukiwemo wa Serikali za Mitaa 2024, ni rahisi kwa Mwananchi asiye na Taarifa Sahihi kufanya maamuzi yasiyo sahihi wakati akijiandaa na Michakato hiyo hadi Kupiga Kura.
Maamuzi yoyote Sahihi kwa Mpiga Kura huchangiwa zaidi na Taarifa Sahihi alizonazo kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.