suzuki swift

The Suzuki Swift (Japanese: スズキ・スイフト, Suzuki Suifuto) is a supermini car (B-segment) produced by Suzuki. The vehicle is classified as a B-segment marque in the European single market, a segment referred to as a supermini in the British Isles. Prior to this, the "Swift" nameplate had been applied to the rebadged Suzuki Cultus in numerous export markets since 1984 and for the Japanese-market Suzuki Ignis since 2000. The Swift became its own model in 2004. Currently, the Swift is positioned between Ignis and Baleno in Suzuki's global hatchback lineup.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwenye Suzuki Swift nini husababisha mguu wa kushoto kupiga kelele kwenye tuta na tairi ya kushoto kugusa board

    Nikikata kona Tairi inasugua nilipo mark A Hapo kwenye B Kuna leakage Hapo C pans cheza cheza (Up down movement)
  2. M

    Suzuki swift M13a

    Habari wadau Ninachangamoto zifwatazo kwenye Suzuki swift M13a naomba ushauri tafadhari 1.kuwaka kwa tabu Asubuhi mpaka nikanyage accelerator Kwa muda 2.nikiwasha AC gari inatingishika na kuzima nikiwa nimepaki, 3.Engine inatoa ngurumo mkubwa kama land cruiser 4. Inatembea umbali mrefu bila...
  3. Dr. Zaganza

    Nauza suzuki swift

    Nauza suzuki swift, bei ni 4.8 million. Niko Kibaha maili moja, piga 0713 039 875.
  4. goodhearted

    Mwenye kuijua Suzuki swift

    Natamani kuinunua hii gari kwa mishe zangu za hapa na pale. Unfortunately mimi si mjuzi kwa kina wa magari. Ningependa kutambua uwezo wa ulaji mafuta, uimara wake, upatikanaji wa vipuli ikiwa ni gharama ya vipuli hivyo kama ni himilivu kwa mtanzania wa kipato cha kati hapa nyumbani tz na mambo...
  5. Dr. Zaganza

    Natafuta stering rack, ya suzuki swift

    Habari wakuu Naomba niulizie stering rack, ya suzuki swift ,maana stering imekuwa ngumu.(Stering ya umeme ,siyo ya hydraulic). Niko Kibaha maili moja Piga 0713 039 875
  6. Mnyenz

    Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  7. Mad Max

    Leo ni 10 10 Tesla Event: We Robot!

    Baada ya kimya na ahadi za muda mrefu za CEO wa Tesla, Elon Musk, finally ile siku imewadia. Ni tarehe 10 October, ambapo billionaire uyo atafanya uzinduzi wa huduma na bidhaa mbalimbali kutoka kwenye kampuni yake ya Tesla. Event ina tittle “We Robot” ambayo tunaamini kaitoa kwenye series ya...
  8. IsaacMG

    Naomba tofauti ya Suzuki Swift new model vs Old Model

    Habari zenu Wana ndugu nina mpango wa kumiliki Suzuki swift ila sasa nimeshindwa kufanya chaguo sahihi kati ya hizi new model toleo la 2006/8 na zile za kawaida za zamani. Naomba kujua kwa wenye uelewa na magari, ipi nichukue ambayo ni Bora, imara, stahimilivu na inayotumia mafuta kidogo...
Back
Top Bottom