sumu ya panya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sumu ya panya inaweza kumuua kenge?

    Hivi sumu ya panya inaweza muua kenge, nimepaka sumu vipande vitatu vya nyama halafu ni kamuwekea pale anapo pitaga nje ya shimo lake na inavoonekana kala sasa sijui kama atakufa au la vipi sumu ya panya inaweza muua kenge kweli au nimefeli.
  2. JamiiForums Tanzania Nani aliyegundua dawa ya binadamu inayoitwa Indomethacin? Ni hatari kwa panya

    Hii dawa ya vidonge kwa binadamu kutibu maumivu inashangaza sana kwa namna inavyoua panya bila kubakiza hata mmoja. Siku za karibuni nilijikuta nimevamiwa na panya zaidi ya 20 na kuzaliana ndani mwangu na kuniharibia mazao, nguo na kuwa kero ndani, nikaanza kutafuta dawa ya kuua, nikaenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…