Hivi sumu ya panya inaweza muua kenge, nimepaka sumu vipande vitatu vya nyama halafu ni kamuwekea pale anapo pitaga nje ya shimo lake na inavoonekana kala sasa sijui kama atakufa au la vipi sumu ya panya inaweza muua kenge kweli au nimefeli.
Hii dawa ya vidonge kwa binadamu kutibu maumivu inashangaza sana kwa namna inavyoua panya bila kubakiza hata mmoja.
Siku za karibuni nilijikuta nimevamiwa na panya zaidi ya 20 na kuzaliana ndani mwangu na kuniharibia mazao, nguo na kuwa kero ndani, nikaanza kutafuta dawa ya kuua, nikaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.