sumbawanga mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 Makarani wa Uchaguzi Sumbawanga mjini wala Kiapo Mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi

    Makarani Waongozaji Wapiga Kura wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, wala Kiapo cha Kutunza Siri na Tamko la Kujitoa Uanachama wa Chama cha Siasa, mbele ya Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Sumbawanga Mjini Fortunatus Conrad Lyapa leo Oktoba 25, 2025 katika Ukumbi wa Sumbawanga Sekondari. Ikiwa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Edwin Kachoma Ajiondoa Kugombea Ubunge Sumbawanga Mjini Kupitia ACT-Wazalendo

    Mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo Jimbo la Sumbawanga Mjini, Edwin Kachoma, ametangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro cha Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza na waandishi wa habari, Kachoma amesema sababu kuu ya kujitoa ni kukosa ushirikiano kutoka makao makuu ya...
  3. Just Pray

    GE2025 Aesh Hilaly achukua fomu ya ubunge Sumbawanga Mjini

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Aesh Hilaly mapema Leo Agosti 24, 2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge ikiwa ni utekelezaji wa kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa wagombea wote kuanzia nafasi ya Udiwani, Ubunge na Urais. Aesh...
  4. PAYE

    GE2025 Francis Luhanya atangaza nia rasmi ya Kugombea Ubunge Sumbawanga Mjini

    Francis Luhanya ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Sumbawanga Mjini baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu, Luhanya alisema kuwa ana nguvu, uwezo na nia dhabiti ya kuwaongoza wananchi wa jimbo hilo...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Aesh Hilaly achukua fomu ya ubunge jimbo la Sumbawanga Mjini

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly Aesh hilaly amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge kukiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao. Fomu hiyo ameichukua leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sumbawanga Mjini, akikabidhiwa Fomu na Katibu wa...
  6. DuaZaMama

    PreGE2025 Mbunge Aeshi Hilaly awaomba wananchi kumpa baraka za kuendelea kuwapatia Maendeleo, Sumbawanga Mjini

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly amewaomba Wananchi wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kumpa Baraka za kuendelea kuwapatia maendeleo Wana-Sumbawanga kama alivyofanya katika awamu zote ili kuiinua Sumbawanga kimaendeleo zaidi. Aeshi amezungumza hayo katika Mkutano na Wananchi wa Kata ya...
Back
Top Bottom