suluhu

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Tanzania ya mshikamano

    RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA TANZANIA YA MSHIKAMANO Na, Nicolas Jovin Clinton Gabone. Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Mageuzi (JUVIMA)-NCCR-Mageuzi Dar Es Salaam 4 May 2025. Rais Samia Suluhu Hassan ni moja ya wanawake wachache wenye uwezo na nguvu ambao wamefanikiwa kuongoza...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Africa Uncovered: The systematic suppression of opposition voices to avoid election defeat in Tanzania?

    https://youtu.be/ymGz-MPekKs?si=e_NTmYmrlQKJec0i Tanzania's first female president, Samia Suluhu Hassan, rose to power in 2021 following the sudden death of COVID-skeptic John Magufuli. Initially hailed as a reformer for reversing Magufuli's controversial policies and reviving Tanzania's...
  3. JamiiForums Tanzania The Struggle for Truth: Political Boycotts and Repression Under President Samia Suluhu Hassan

    The Struggle for Truth: Political Boycotts and Repression Under President Samia Suluhu Hassan When President Samia Suluhu Hassan took over leadership in 2021, there was a wave of hope among many Tanzanians. Her promises of reconciliation, democratic reforms, and respect for human rights were...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

    Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
  5. JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kupambana na Samia Suluhu Hassan kwenye ucchakachuaji ujao kama independent candidate

    Japo naunga mkono no reforms no elections, napanga kumpinga SSH lau asipite bila kupingwa na kujiona anapendwa wakati anchukiwa. Naombeeni kura zenu wanangu. Katika uchaguzi huu mgombea mwenza wangu atakuwa mke wangu ili kuvutia kura za akina mama. Mie sina dini. Mke wangu amesilimu juzi juzi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM waachane na Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi. Hawataki Reforms

    ..ukweli ndio huo. ..Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi hawataki Reforms. ..Wagombea hao wanataka marudio ya uchaguzi kama wa Oct 2020, na Nov 2024. ..CCM inapaswa kuachana na wagombea hao ambao bila shaka hawataki amani, wala haki. ..Chama kiteuwe wagombea wapya wanaothamini na kuheshimu...
  7. JamiiForums Tanzania Eti Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kweli kuwa nyuma ya uovu anaotendewa Tundu Lissu?

    Sitaki kuamini kwamba MamaSamia2025 yuko nyuma ya mpango wa hiki kinachoendelea. Ninafahamu kwamba MamaSamia2025 ni MTU mwenye dhamira safi licha ya kwamba watu walipotekwa alisema ni vijidrama na Mzee Kibao alipouawa na watu wanaodaiwa ni Polisi, akawapa Polisi haohao KAZI ya kujichunguza na...
  8. JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 9 Simba-0 vs Al masry-0 Matokeo ni suluhu bila kufunguna

    Ndugu wanasimba Hayo ndiyo matokeo ya kesho twendeni tukakamilishe ratiba, Heshima ya uwanja wa mkapa ishapotea zama zile hazipo tena. Tujipange kwa msimu ujao FT Simba 0 al masry 0.
  9. JamiiForums Tanzania Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majiran

    Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majirani na ikiwezekana Afrika na mataifa mengine. Kwa sasa Tanzania inajitosheleza kwa chakula kwa aslimia 128.
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuhutubia hafla ya uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ime

    Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, pamoja na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  15. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
  16. JamiiForums Tanzania Arusha ilikua siku ya wanawake duniani au Siku ya Mhe.Raisi Samia Suluhu Hassan?

    Wasalaam Sifa nyingi kapewa mhe. Kahaidiwa na kupata kura nyingi Shughuli hii ilikuwa ya kumpa 'mama' maua yake katika mlengo wa kisiasa hasa kupitia chama chake cha mapinduzi?(sina shida na hilo) Au alialikwa kama mgeni rasmi kwenye sikukuu ya wanawake? Kama jibu ni la kwanza heko shughuli...
  17. JamiiForums Tanzania My Tribute to Samia Suluhu Hassan! Kenya inaisifu Tanzania!

    Nimejionea hii taarifa nikasukumwa kuandika huu uzi kuhusu serikali ya Tanzania ya sasa! Kwa muda mrefu nimekua mkosoaji nguli wa serikali za CCM kuanzia kwa JK hadi kwa Samia! Kwa hivi karibuni trend ya uchumi wa Tanzania, mapambano dhidi ya Rushwa, harakati za matumizi ya nishati safi, ujenzi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni Kielelezo cha Uongozi wa kina Mama Duniani

    Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
  19. JamiiForums Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…