suluhu

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma Mbunge wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma, Augustine Vuma amesema kazi kubwa ya kumtua mama ndoo kichwani inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maji imeleta mabadiliko makubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Uwepo wa mpango wa huduma ya gari kwa kila kaya kwa msamaha wa kodi

    UTANGULIZI Inaweza kutafsiriwa kama umaridadi kuwa na gari kila kaya, lakini ndivyo ukweli ulivyo kuwa gari kila kaya ni mwarobaino wa vifo vinavyotokana na umbali wa vituo vya afya kwa baadhi ya maeneo na ukosefu wa usafiri wa uhakika pamoja na miundo mbinu duni hasa kwa mama na mtoto pamoja na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Gesi suluhu la uharibifu wa Misitu

    Gesi ni moja ya rasilimali zinazopatikana hapa katika nchi ya Tanzania japokuwa gesi ni rafiki wa mazingira, lakini watu wamekuwa na mwamko mdogo wa kuitumia kwa sababu hizi zifuatazo:- Gesi kuuzwa kwa bei ya juu, hii inapelekea watu wengi kutumia mazao ya misitu kwa mfano mkaa na kuni...
  4. JamiiForums Tanzania Makonda: Siko tayari kumkatisha tamaa Rais Samia Suluhu kwa kunipa cheo cha RC

    Sote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia Profesa Kabudi akisema kuwa Magufuli ni Mungu wake nilidhani ni masikhara. Kumbe Rais akikuteua...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awapongeza Mabalozi wanaowakilisha Tanzania Nchi mbalimbali

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali Duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa masoko ya bidhaa za Tanzania, biashara, uwekezaji, utalii na tekbolojia nchini. Rais Samia ametoa pongezi...
  6. JamiiForums Tanzania CCM Simiyu Yampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwaletea miradi ya maendeleo

    CCM SIMIYU YAMPONGEZA RAIS DKT SAMIA SULUHU KUWALETEA MIRADI YA MAENDELEO. LALAGO; MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Shemsa Mohamed amempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa kupeleka fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya kikazi ya Siku Tano Nchini Uturuki kuanzia Tarehe 17-21 Mwezi huu

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mualiko maalum wa Rais wa nchi hiyo Mheshimiwa Erdogan. Hii imeelezwa na waziri wa mambo ya nje na...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Watanzania tumheshimu na kumuombea sana Rais wetu Samia Suluhu Hasan tusisahau kwamba Rais wa nchi amebeba hatma ya nchi na wananchi wake Nimesikia na kufuatilia kwa uchache sana mambo yanayoendelea mitandaoni na vile yanavyopokelewa na jamii ya watanzania nimejifunza mambo muhimu moja kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi na Tundu Lissu wanastahili kuwa kwenye Serikalli ya Rais Samia

    Sijatumwa, lakini ikikupendeza, Hawa watu waweke kwemye serikali yako. Wataiva tu pamoja, hata kama wana itikadi tofauti. tuletee watu wa kutupeleka mbele hata kama wanatofautiano kimtizamo. Chonde chonde, mrudishe huyu mwanazuoni huko serikalini, amekaa bench muda mrefu na ana madini ya...
  10. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

    Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook; =================== Huu ni ushindi mkubwa sana wa Idara ya Ujasusi nchini Tanzania, Binafsi nafurahi...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anachotaka ni Watanzania watoke kwenye umaskini

  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Wabunge wamejiongezea Mishahara Kutoka Tsh milioni 13 za awali na sasa wanalipwa Tsh milioni 18 kwa mwezi mbali na posho

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema Wabunge wa Bunge la JMT wamejiongezea Mishahara kutoka TSH 13 million walizokuwa wanalipwa awali hadi TSH 18 million Mbowe amesema mshahara huo ni mbali na Posho mbalimbali wanazolipwa kila Siku Jumaa Mubarak 😀🔥 ---- Mwenyekiti wa chama cha...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania tunakupongeza Rais Samia kwa mazuri unayoyatenda

    Wananchi wa Tanzania tunakupongeza kwa mazuri ambayo unayatenda. Usikatishwe tamaa na kelele sisi tulioishi muda mrefu na kujua mwenendo wa nchi tunakuona unaenda vyema sana. Furaha, amani, mshikamano miongoni mwa watanzania ni wa hali ya juu. Uhuru wa kuabudu, uhuru wa kutoa maoni, hata uhuru...
  14. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Uwanja Mpya wa Mpira Utakojengwa Arusha Utaitwa Samia Suluhu Hassan Stadium

    My Take Naunga mkono hoja ila prefix ya Dr iondolewe ndio jina litapendeza zaidi. Pili Mtu apewe maua yake mapema kabla hajafa sio mtu amefariki kama Lowassa ndio mnaanza kujisemesha ooh sijui alijenga nini tutunze historia nk. Kazi iendelee 👇👇 --- Uwanja huo unaosubiriwa kwa hamu kujengwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Mzeru awataka wanawake kumuunga mkono Rais Samia

    MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Mzeru, amewataka wanawake katika maeneo mbalimbali hapa nchini kuwa mstari wa mbele kumuunga Mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali yake kwa kazi kubwa anayoifanya kuleta maendeleo kwenye jamii na...
  16. JamiiForums Tanzania Hamas wasema wako tayari kwa suluhu na kwa vita pia.Waziita juhudi za Biden kuhusu Gaza kama ni diplomasia ya askirimu

    Viongozi wawili wakubwa wa Hamas wamezipuuza jjuhudi za Marekani kuhusu Gaza kama ni diplomasia ya askirimu. Basem Naim akiwa nchini Uturuki ameyapuuza matamshi ya raisi Biden aliyotoa juzi wakati akila askirimu aliposema makubaliano baina ya Hamas na Israel yanatarajiwa kufikiwa ifikapo...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Dkt. Samia anakerwa na kukatika kwa Umeme, ni lazima tuzalishe umeme zaidi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kwa dhati kuendeleza vyanzo vya umeme wa Jotoardhi ili kuhakikisha nchi inazalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya wananchi wake. Amesema chanzo hicho cha umeme kitaongeza nguvu katika vyanzo vilivyopo vya Maji...
  18. JamiiForums Tanzania MP (Kibiti) Twaha Mpembenwe: The Unsung Hero (Samia Suluhu Hassan)

    MP (Kibiti) Twaha Mpembenwe: The Unsung Hero (Samia Suluhu Hassan) I am humbly writing you to heartily congratulate and appreciate on the resounding sustainable administrative revolution accomplishment. Since the time you assumed office in March 2021, your administration branded its actions...
  19. JamiiForums Tanzania Kwenye ulimwengu wa Waislamu, Rais Samia Suluhu ni Mwanamke wa nne Duniani kushika nafasi ya Urais

    Kwema Wakuu! Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa ya Urais. Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa...
  20. JamiiForums Tanzania Misri atoa onyo kwa HAMAS wana wiki mbili kupata suluhu la mateka, kabla Israel haijaingia Rafah

    Hapo Rafah ndio ngome ya mwisho ya HAMAS, ila penyewe pamejaa wananchi wengi hivyo kupapiga lazima Wapalesina watakufa sana, Misri imesema HAMAS waharakishe hili la dili ya mateka kabla hapajapigwa maana Israel wakianza, kawaida tumeona huwa hawasimamishwi na yeyote.... Egypt tells Hamas it...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…