suluhu

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

    Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  2. JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Samia Suluhu Hassan kwa mkataba wa ujenzi wa Petroleum Refinary Tanga

    Katika nchi ni lazima tukubaline kuwa kuna mambo ni maslahi ya Taifa. Mojawapo ni uwekezaji wa Petroleum Refinary Tanga. Tukiwa wakweli, Kenya walishatupiga chenga baada ya Dangote kubadili mawazo na kuhamishia Lamu uwekezaji wake wa Refinary. Mkutano wa Rais Samia na Rais Ruto, baadaye na...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia hapa Kafeli kabla ya kuanza.. Eti tume imchunguze halafu impe ripoti🤣

    Watu wanadai kikundi kinachoteka na kupoteza watu alikiunda yeye ili kulinda kiti dhidi ya wapinzani wake wa kisiasa. RIP Polepole. Watu wanadai aliyetoa amri ya kupiga risasi za moto wananchi wanaoandamana ni yeye. Aliyeteua kiongozi wa tume huru ya Uchaguzi ambayo ndo iliharibu uchaguzi ni...
  4. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu, ona ulivyo chafua Tanzania kimataifa

    Royal tour imegeuka kuwa roho toa. Serikali ya Tanzania imechafuka kimataifa. Watanzania hawatakuzomea uone aibu, bali watakulaani wewe na kizazi chako. 29.10.2025 haitasahaulika. Ndo kitu pekee wajivunia. Itatuchukua miaka kujenga ulipo bomoa. Chawa walaniwe, hakuambiii ukweli unavyo chukiwa.
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ajengewe sanamu katika majiji yote nchini Tanzania

    Wanabodi. Tumsifu Yesu Kristo. Asalama leko. Kama kichwa cha habari hapo juu Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dkt Samia Suluhu Hassani. Mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya juu ya uongozi serikalini akiongoza raia million 60. Rais ambaye ambaye ameleta philosophy 4r. Mwenye misimamo ya...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vision 2060 Haiwezi Kujaza Sahani Leo: Wakenya Wanataka Suluhu Sasa

    Mpango wa Vision 2060 umeendelea kuzua mjadala nchini baada ya Rais William Ruto kuuzungumzia wakati wa mkutano na wanahabari, akisema utakuwa dira ya maendeleo ya muda mrefu ya Kenya baada ya kukamilika kwa Vision 2030. Rais Ruto alieleza kuwa mpango huo unalenga kuhakikisha Kenya inaendelea...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia unasubiri nini kumfukuza kazi Rose Manumba wa Shinyanga?

    Yaani Tanzania ni banana republic. Leo weekend nimetulia nasoma habari za Tanzania, nkakutana na kituko Cha Karne. Rose Manumba DED wa Msalala-Shinyanga, halmashauri yake imepata hati chafu Kwa miaka miwili mfululizo, mwaka huu eti wakaguzi kutoka wilayani, walizuiwa na huyo Kibaka Rose...
  8. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan Hili la Humphrey Polepole Halitapita hivihivi

    Haki ya Mungu tena nakwambia hili halitapita hivi hivi. Ni either umtafute na arudi akiwa hai au ulipe gharama ya uhai wake.
  9. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan Waambie Polisi Iringa Waache Kunibugudhi

    Huu ni ujumbe wangu kwako, naendelea kusambaza vipeperushi vya amani kuomba Humphrey Polepole arudishwe haraka sana kwaajili ya kutusaidia kujenga hoja za maridhiano. Nimeona CHADEMA wanaendelea kupaza sauti ili Tundu Lissu aachiwe kabla ya maridhiano. Nadhani wako sahihi pia. Sasa kwanini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
  11. JamiiForums Tanzania Samia anataka MARIDHIANO ya Wakwe na Wakwe ndio maana hata mifano yake utamsikia 'Nyie wanangu', huwezi kuua Watu alafu utafute Suluhu nyepesiii

    Yaaan Maelefu ya Vijana wameuwawa Oktoba 29 . Lissu yupo Gerezani. Unaibananga CHADEMA . Utekaji, Mauaji ya wakosoaji . Alafu kirahisi kabisaa kabisaa, Samia anasema 'Marudhiani sio Udhaifu ', Tulidhiane wenyewe, Haina haja ya Kutoka Nje kutafuta msaada. Yaan as if zile Roho za Oktoba 29...
  12. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu akisingiziwa na kushitakiwa kwa kufadhili Magaidi wa kuua Wakristo, nani atamtetea?

    Wote tunajua Marekani jinsi ilivyo mstari wa mbele kupambana nna Magaidi pale wanapojitokeza Nchi yoyote. Kwa yanayoendelea Nchini Tanzania, hivi Samia Suluhu akishitakiwa kwa kufadhili Magaidi, na Vikosi vya kuua Wakristo, nani atamtetea? Sasa hivi kwenye Misikiti Watu wanafundishwa Judo...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KHRC Accuses East African Leaders of Criminalizing Dissent

    The Kenya Human Rights Commission (KHRC) has accused the governments of Kenya, Tanzania, and Uganda of orchestrating a regional crackdown on dissent through enforced disappearances, arbitrary arrests, torture, and intimidation of activists, journalists, and government critics. In a strongly...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki ufunguzi wa Jengo la Mionzi (Chemotherapy) Hospitali ya KCMC-Moshi Kilimanjaro

    https://www.youtube.com/live/tbA3qAYbzio?si=33KuineyOZDSZmtR Video Courtesy: Directorate of Presidential Communications YouTube Channel
  16. JamiiForums Tanzania FALSE President of Tanzania Samia suluhu arrested for crimes againsty humanity

    There has been recently post circulation on lines, especially Facebook articulating that the president of the United Republic of Tanzania has been arrested because of crimes against humanity The post further alledgy that This woman killed thousands of innocent Tanzanians during their elections...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Samia Suluhu hajui kuzima MIC za Urusi? Putin ainglia kati kumsaidia

    Yule Samia wenu kaonekana akizunguka Ukumbini na receiver ya tafsiri ya lugha kila sehemu hata mic hakuzima. Putin akaingilia kati, kamwambia siri zako zitasikika, zima mic namna hii. Vitu vidogo tu unashindwa kujifanyia hadi ufanyiwe? Kidogo akate waya wa Watu🤣🤣 Katia aibu sana
  18. JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  19. JamiiForums Tanzania Ile shahada yagoma kukaa Kichwani kwa Samia Suluhu, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa🤣🤣

    Ile shahada yagoma kukaa Kichwani mwa Samia, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa.. Haijawahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.. Kofia imejua imengia kichwa fake? Sababu alikua anahema juu juu kama Kiboko🤣 Samia kubali Elimu imekukataa.. Naona wamelazimisha kukuvika.. Aibu sana umewatia Wazanzibar...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Urusi

    ■Atahutubia jukwaa la kimataifa la uchumi la St. Petersburg ■Anatarajiwa kushiriki kongamano la uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi ■Atatunukiwa shahada ya heshima, kunadi fursa za dira 2050
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…