sugu mbeya

Joseph Mbilinyi (born 1 May 1972), known for his stage names Mr. II, Sugu and 2-proud, is a Tanzanian politician, human rights activist and rapper. He was a Mbeya Urban elected member of Parliament from 2010 to 2020.
Mr. II was stems from Mbeya in Southern highlands Tanzania, started to rap in 1990, in his youth when he was still in school. His inspirations were Ice Cube, Niggaz With Attitude and above all Tupak Shakur. Mr. II was the first Tanzanian rap artist to have major success with his music. Through his music and language he express and addresses politics, social inequalities and other problems that affected Tanzanians. Most would consider his music as a voice for the voiceless, his brand of rap is soulful, lyrical, rhythmical and from the heart. This is because Mr. II is not afraid to tell it like it is, undertaking sensitive issues of concern to many Tanzanians such as democracy, child prostitution, police brutality and corruption.
He became so popular that his music reached audiences even in rural areas where rap had not been heard before. Due to the quality of his music and the message in his music, older people were more acceptance to his music and contributed to making him the first Tanzanian rapper to have a mainstream hit. Also making Mr II the M-Net Best Male Artist Grammy Award Winner for Tanzania in 2001. Mr. II is the African Great Lakes region's most popular Bongo Flava icon, and through this genre he was able to make a difference and create opportunities for the youth.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Wagombea majimbo ya Mbeya kutoka CHADEMA walikuwa Mdude na Sugu kwasababu yaligawanywa. Je kupotea kwake ni hujuma?

    Jimbo la Mbeya Mjini ilifahamika toka awali kuwa litagawanywa kuwa majimbo mawili, ili kuhakikisha Mtu Fulani anashinda kati ya hayo majimbo mawili, kwasababu Sugu ana nguvu sana katika jiji la mbeya na anakubalika na vijana ambao wengi ndo wapiga kura, kama uchaguzi hautakuwa na uwizi basi...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu): Wanawake walibakwa ili mimi nitangazwe kuwa Mbunge Mbeya mjini

    Wakuu Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mhe Joseph Mbilinyi (Sugu) akizungumza na wananchi amefunguka baadhi ya sababu za CHADEMA kuanzisha kampeni ya "No reforms no Election" akumbushia hali ilivyokuwa mwaka
  3. Rula ya Mafisadi

    PreGE2025 CHADEMA Mbeya wamuonya Sugu na wenzake wasipomchagua Lissu, Dkt Tulia atapita bila kupingwa

    Tegemea Sanga Mwanachama wa CHADEMA anasema Viongozi wao wajuu wamechukua jukumu la kumuunga mkono Mbowe bila kuwashikirisha wao kwani wao wanamtaka Lissu Kwakuwa ni muwazi na mkweli. Zikiwa zimesalia siku kadhaa kufikia kilele Cha Uchaguzi ndani ya CHADEMA mnyukano ni mkali kati ya Lissu na...
  4. Waufukweni

    Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki

    Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
Back
Top Bottom