Kwa taarifa zilizo mtaani Kwa Sasa kwenye ishu ya magari, wadau wanauliza inakuwaje Subaru Forester zinaaanza kushuka Bei za Mauzo?
Wakuu tunaomba kujua Kuna nini kwenye ishu ya Subaru Forester?
Au wabongo wameshaanza kuyangorosha, matumizi mabaya ya uendeshaji?
Kuna jambo huwa najiuliza...