The Subaru Forester (Japanese: スバル•フォレスター Subaru Foresutā) is a compact crossover SUV (sport utility vehicle) that's been manufactured since 1997 by Subaru. Available in Japan from 1997, the Forester shares its platform with the Impreza. The current Forester has 5 trims, standard, premium, sport, limited, and touring. The touring has features like brown leather seats, heated seats, navigation, and panoramic sunroof. Also it has all wheel drive standard on every model.
Mafanikio mengi ya Subaru yametokana na ujuzi wake wa kukidhi mahitaji ya vikundi maalum -- na vilivyojitolea sana -- vya wanunuzi wa magari. Miundo kama vile Outback kwa kawaida imekuwa ikilenga watu wanaotaka kitu cha kistaarabu cha kutosha kwa usafiri wa kawaida wa mijini, lakini ni iwe gari...
2013 Subaru Forester SJ5 Ni gari ambayo imenunuliwa sana na inaendelea kununuliwa sana , ni gari yenye muonekano mzuri na wa kijanja haswaa!.
Iwe ni kwa kuendea shambani au mizunguko ya mjini, inatamba tu! ni gari yenye sifa kede - kede kutoka kwa watu wengi, kama vile kumpa mtumiaji ground...
Ndugu zangu tunaenda kufunga mwaka wapo wenye ndoto mbalimbali hapo mwakani katika kununua magari.
Kwa wale ndugu zangu wenye ndoto za kumiliki Subaru forester nawaomba waaachane na Subaru forester SJ5 yenye code engine ya FB20 non turbo ( forester ya 2013 - 2016)
Nimekutana na ushahuda wa...
Wakuu natumaini ni wazima wa afya.
Nina mpango wa kuagiza Subaru Forester XT (SJG) 2014 - 2016. To be specific ni hii ya 2015
Personal details
Income : 2.5M + Net per month plus other businesses. Total family members (4)
Safari za mkoani ni 5 hadi 6 kwa mwaka, huko kuna rough road.
Safari za...
Kwema Wakuu,
Mwezi uliopita nilihama rasmi kutoka kutumia RAV4 mpaka Subaru Forester ya 2011. RAV4 nliokua nikitumia ni "Kili time" ya mwaka 2000, engine 1ZZ, CC 1770, front wheel.
Sasa nimekuja kwenye Subaru, CC 2000 full time 4wd naona kama mambo hayaendi hivi kwa upande wangu. Yaan mazoea...
Wakuu habari za mapambano.
Naomba mawazo yenu kati ya gari hizo hapo juu. Kwa kuzingatia reliability, cost of maintenance, durability, comfortability na stability kwenye safari, nichukue ipi hapo wakuu.
Note: Bajeti haizidi 30 M.
SUBARU FORESTER - SJ5 MODEL
Mwaka 2014
Engine 1990cc
Rangi Blue Metallic
Mileage 92,000km
Bei 36m
📌Push to Start 📌Winker Mirrors 📌Eyesight Tech
☎+255626682228
SUBARU FORESTER - SJ5 MODEL
Mwaka 2014
Engine 1990cc
Rangi Black Metallic
Mileage 73,000km
Bei 36m
📌Push to Start 📌Winker Mirrors 📌Eyesight Tech
☎+255626682228
SUBARU FORESTER - SJ5 MODEL
Mwaka 2014
Engine 1990cc
Rangi Black Metallic
Mileage 70,000km
Bei 36m
📌Push to Start 📌Winker Mirrors 📌Leather Seats 📌Roof Rails 📌Eyesight Tech 📌Rear TV Screen
☎+255626682228
Habari za mida wakubwa..
Samahani naomba endapo Kuna mtu anauza hzi gari apo tuwasliane nahitaji...location arusha.
Kama utakua nayo naomba tuwasliane PM ukiwa na picha plus bei yako.
Asanteni.
Wakuu salaam.
Wako niko kwenye wazo la kutafuta usafiri. Mwanzoni nilikuwa nawaza kuhusu Mitsubishi Outlander, Hata hivyo, watu wengi wamekuwa na ushauri hasi kuhusu gari hilo. Kwa sasa nina mawazo mawili baina ya Nissan X traeil na Subaru Forester XT. Bajeti yangu 25 -30 M, Ni mtu wa kipato...
Nahitaji ku-disable hizi headlight washer, nilipata changamoto ya kuibiwa washers zilizokuja na gari, sasa hizi washers za mtaani hazifiti vizuri japo zinacover kwa nje ila ukitumia washer zinaanguka, hata ukiweka ribit hii nguvu ya washer wakati mwingine bado zinatoka.
Nimeona kuna options za...
Kwa taarifa zilizo mtaani Kwa Sasa kwenye ishu ya magari, wadau wanauliza inakuwaje Subaru Forester zinaaanza kushuka Bei za Mauzo?
Wakuu tunaomba kujua Kuna nini kwenye ishu ya Subaru Forester?
Au wabongo wameshaanza kuyangorosha, matumizi mabaya ya uendeshaji?
Kuna jambo huwa najiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.