stendi ya mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni kweli kuwa Serikali haina fedha ya kuwajengea stendi ya mabasi ndugu zetu nshomile?

    Kuna msemo husema mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd, lakini pia nimekuwa nikisikia kuwa ndugu zetu nshomile hujifanya wajuaji wa kila kitu, lakini pia ni wabinafsi kupindukia..je? ujuaji wao ndio umefanya serikali iwaache wapambane na hali yao! lakini pia hawa ndugu zetu huko nyuma walikumbwa na...
  2. Muonekano wa Stendi ya Mabasi Kondoa (Dodoma) unatia aibu

    Licha ya mamlaka za Serikali kuendelea kutoza ushuru kutoka kwenye mabasi ya abiri yanayopita kwenye Stendi Kuu ya Wilaya ya Kondoa. Mkoani Dodoma bado hali ya mazingira si mazuri. Mabasi yanavyopita wakati wa kiangazi vumbi linalotimka hapo si la Nchi hii, wakati wa mvua napo matope ndio...
  3. Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

    Viongozi wa Tanzania waliopo na waliopita wamepachika au wamepachikiwa majina yao kwenye mali na miradi ya nchi, hili jambo halina maana wala tija yoyote ile. Kwa mfano, si sawa kwa stendi ya mabasi ya kimataifa ya Mbezi Luis, uwanja wa soka wa Taifa, viwanja vya ndege, madaraja, vivuko, shule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…