stendi ya daladala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Responded Marekebisho ya vyoo Stendi ya daladala Mbezi Luis yameanza kufanyika

    Leo Februari 2, 2026, nikiwa katika harakati zangu, nilipita Stendi ya Daladala Mbezi Luis maarufu Mbezi Mwisho na kushuhudia ukarabati wa vyoo ukiendelea. Awali, niliwahi kuona andiko hapa JF likieleza changamoto za miundombinu hiyo, hususan baada ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025...
  2. N

    Stendi ya daladala Morogoro

    Kwani Sisi waafrika tuna laana gani jamani? Hivi ni akili gani pale Morogoro kugeuza kituo cha daladala parking na kuacha daladala zishushe abiria sehemu ambayo hakuna kituo? Ni nani aliyeturoga jamaniiiiiii!!!!!!!
  3. P

    KERO Barabara ya mwanza mataa, tuta la stendi ya daladala makoroboi

    Pale makoroboi stand ya dalala, kuna tuta(bump) kubwa, baada ya tuta hilo kuna mashimo makubwa sana katikati ya barabara. Cha ajabu kwenye tuta hilo na chini ya tuta hilo utakuta zimepaki dalala juu ya tuta, zinapaki daladala tatu hadi nne kwa upana na kuacha sehemu ndogo sana ya barabara...
  4. JanguKamaJangu

    KERO Stendi ya Daladala Makumbusho ipo kwenye hali mbaya, inazidi kuchoka, Ushuru unatozwa lakini hakuna ukarabati

    Stendi ya makumbusho ni kati ya Stendi ambazo zimekuwa zikipokea daladala nyingi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, lakini stendi hiyo imekuwa ikipoteza hata ubora mdogo iliyokuwanao awali, ambapo kwa sasa imechakaa na imekuwa kero kwetu madeleva wa daladala. Licha ya daladala...
  5. A

    KERO Tabia ya kujisaidia haja ndogo pembezoni mwa Daladala Stendi ya Daladala Mbezi Luis inakera sana

    Kuna tabia ambayo hasa inafanywa na Madereva na Makondakta wa Dalalda kujisaidia haja ndogo pembezoni mwa magari yao wakati yakiwa kwenye foleni hasa magari yaendayo shamba yaani Mlandizi, Boko Mnemela, Chalinze na Miono inaendelea kukithiri. Taboa hiyo imesababisha kuwe na harufu mbaya sana...
  6. Mshobaa

    KERO Wapiga Debe wanaotafuta Abiria wa Mabasi katika Kituo cha Daladala Mbezi Luis ni kero kubwa

    Wapiga Debe katika Stendi ya Daladala ya Mbezi Luis wamekuwa kero kubwa kutokana na yale wanayoyafanya kila siku kutuoni hapo kwa nia ya kutafuta Abiria wanaoelekea katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli Bus Terminal. Kwanza Daladala ikiwa inaingia hasa majira ya asubuhi ambapo kuna mpishano wa...
  7. P

    Giza mara kwa mara Stendi ya Daladala Mawasiliano mpaka kiwe kichaka cha uhalifu ndio mshughulikie?

    Stendi ya Daladala Mawasiliano taa hazifanyi kazi, yaani haziwaki, na ali hii imekuwa ikitokea mara kadhaa majira ya usiku na hivyo kusababisha mazingira hatarisha hasa kwa usalama wa abiria na raia wanaosubiri huduma ya usafiri pamoja na Wafanyabiashara wa maeneo haya. Mamlaka shughulikieni...
  8. Kabwelavoice

    DOKEZO Stendi ya Daladala ya Mbezi Mwisho inanuka mkojo tupu

    Habari Wadau, Ukweli hii ni kero ambayo mwisho wa siku itakuja kuzaa magonjwa ya mlipuko. Stendi ya Mbezi mwisho ya daladala ambayo hata magari ya Mwendokasi yanapaki pale, kuna kero ya watu kukojoa hovyo ndani ya stendi huku walinzi na migambo wa jiji wakifukuzana na wamachinga tu lakini...
Back
Top Bottom