stendi jimbo la mchinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Salma Kikwete: Jimbo langu la Mchinga halina Stendi hata moja

    Mbunge wa Mchinga Mkoani Lindi Salma Kikwete, kwenye kipindi cha maswali na majibu amehoji Serikali ina mpango gani na Jimbo lake halina Stendi hata moja wakati Magari makubwa yanapita kutoka Mikoa mbalimbali kama Ruvuma na Mtwara na mengine kutoka Nchini jirani ya Msumbiji. Akijibu swali hilo...
Back
Top Bottom