Habari,
Naomba msaada wenu. Kama wewe ni mzee wa zamani au miaka ya 90 na 2000 ulikua unaenda Disko (Ulikuwa ushapevuka wakati huo), basi naomba uniorodheshee nyimbo zile mlizokua mnazicheza hasa za Kiafrika. Au hata kama ulikua unamsikia mzazi anauimba au kusikiliza wimbo wa zamani utaje hapa...