Baadhi ya Wafanyabiashara katika Soko la Sabasaba jijini humo wamelalamikia hali ya miundombinu mibovu ya mitaro ya majitaka, ambayo inasababisha maji chafu kupita karibu na maeneo yao ya biashara.
Wafanyabiashara hao wanasema kuwa tatizo hilo linaathiri afya zao na kuharibu shughuli zao za...
Nawakilisha kwa Uchungu Mkubwa sana ukiwa ndani ya moyo wangu kutokana na Dhulma tunayofanyiwa na Katibu wa CCM Mufindi bwana Clement Bakuli.
Soko la Sabasaba lilizuka baada ya sisi wahanga tuliounguliwa na moto katika soko la Mandela mwaka 2016 kupewa nafasi tuanzishe soko lingine. Tulianza...
Anonymous
Thread
ccm
katibu
katibu wa ccm
mufindi
sabasabasokosokolasabasaba
sumbawanga
uovu
wafanyabiashara
Mbunge wa Jimbo la Lindi Mjini,Hamida Mohammed Abdallah, leo Mei 7,2025 ametembelea eneo la soko la muda lililopo katika Kata ya Msanjihili, Mtaa wa Bank maarufu kama "Sabasaba" ambalo litakalotumika kwa muda na wafanyabiashara wa Soko Kuu la Lindi ili kupisha ujenzi wa soko jipya la kisasa la...
▪️Awapatia miradi ya Kiuchumi na kutunisha mfuko wa Kikundi.
▪️Wafanyabiashara wamshukuru kwa kuwajali na kuwaendeleza kiuchumi
▪️Wampongeza Rais Samia kuboresha miundombinu ya masoko Jijini Dodoma
📍Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini Mh. Anthony Mavunde ameahidi kuwaendeleza kiuchumi...
Kumekuwepo na changamoto kubwa ya uchomaji wa taka kwenye soko la sabasaba jiji Dodoma, nyakati za usiku.
Taka hizo ambazo ni mabaki ya majani ya migomba na mabaki ya matunda kutoka soko la "miti mirefu na PAG" imekuwa kero kubwa kwa sisi wakaazi wa uhindini.
Wahusika watusaidie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.