soko la mbuyuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndagullachrles

    Mkurugenzi Manispaa ya Moshi unafunga biashara za watu soko la Mbuyuni kwa nini?

    nina dakika chache za kuwa hapa lakini namtumia salama tu Mkurugenzi Manispaa ya Moshi,Mwajuma Nasombe aache kufungia biashara za watu soko la Mbuyuni. Wafanyabaishara hawa walipatwa na mkasa wa kuulinguliwa soko mara mbili,mwaka 2022 na mwaka jana wameingia hasara kubwa za kupoteza mali zao...
  2. peno hasegawa

    Giza lazidi kutanda sakata la soko la mbuyuni, moshi manispaa,soko la bil. 2, baada ya wafanyabiashara kutakiwa kujigharamia vizimba kwa tsh 150,000/

    Hali ya Uchungu imerejea kwa wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni ambao walipata hasara ya kuunguliwa na kupoteza mali zao zote katika ajali ya moto ulioteketeza soko zima la mbuyuni na kuwaacha wafanyabiashara kwenye madeni na vifo kwa baadhi ya wafanyabiashara hao. Katika janga hilo serikali...
  3. milele amina

    Tetesi: Madiwani Moshi Manispaa, kuongea na waandishi wa habari kuhusu , Kauli Tata na Malalamiko ya Wapiga Kura ,Soko la Mbuyuni, Moshi Manispaa.

    Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni. Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani halisi ya soko hili, wakionyesha wasiwasi wao juu ya ufisadi na wizi ambao umekuwa ukiripotiwa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi asikiliza na kutatua kero kwa wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro Mwajuma Nasombe leo Machi 15, 2025 amewatembelea wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni ili kusikiliza na kutatua kero zao. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  5. Ndagullachrles

    Ugawaji vizimba soko la Mbuyuni kaa la moto

    Zoezi la ugawaji wa vizimba kwa wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni umezua sintofahamu baada ya baadhi ya wafanyabiashara kudai kutoorodheshwa kwenye majina ya wanaostahili kupewa vizimba . Soko hilo ambalo ni moja ya soko makubwa ndani ya manispaa ya Moshi ,liliungua mwaka Jana na kuleta hasara...
Back
Top Bottom