Wapendwa tupeane mchongo ndugu zangu.
Je ni soko gani kwa hapa Dar linaongoza kwa biashara ya maharage? Yaani kama naleta kutoka mkoani naweza kupeleka soko gani ambapo wanachukua bila usumbufu mwingi?
Pia ni aina gani ya maharage inayonunulika sana. Na kama una idea ya bei kwa mwezi April 2025...
Natarajia kuanza kuvuna Maharage mwezi huu nimeiona ni vema nianze kutafta soko mapema kabla ya kuanza kuvuna.
Aina ya Maharage ni Uyole Njano (goroli).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.