soka la wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. excel

    Wachezaji wa Mpira wa miguu wa kike Barani Afrika. Jionee Hazina ya Soka Upande wa Wanawake

    Naanza Na Tanzania
  2. Waufukweni

    DRC kuwekewa vikwazo na FIFA baada ya kiongozi wa soka la wanawake, Olive Kiloha kufungwa Machi 28

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inaweza kukabiliwa na vikwazo ikiwa ni pamoja na kufungiwa na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya Rais wa Chama cha soka la wanawake nchini humo (LIFF), Kiloway Kiloway kukamatwa na kufungwa Machi 28, mwaka huu. Olive Kiloha amezuiliwa katika Gereza la...
  3. GENTAMYCINE

    Naomba mechi zijazo za Yanga Queens na Simba Queens kabla ya Mechi kuanza kwanza Wachezaji Wakaguliwe jinsia zao tukuka

    Sitaki swali lolote hapa ila kama una Macho mazuri yenye kuangalia vyema tafuta Clip ya Mechi ya Jana kisha tizama Wachezaji wote (hasa wa Timu iliyoshinda) na rejea hapa uniambie umegundua nini. Kuna Mchezaji wa Walioshinda kacheza jana ila mitaani kote Tandale Kwao Wenzake wanamuita Beka...
  4. Kipenzi Changu

    FT: Yanga Princess 0-1 Simba Queen, Ligi ya Wanawake

    Simba Queens imeendeleza ubabe dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliochezwa Uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam. Bao la Vivian Corazone limetosha kuipa Simba pointi tatu muhimu dhidi ya mtani wake ambaye kwa miaka ya hivi karibuni amekuwa mnyonge. Katika Ligi Kuu ya...
  5. Komeo Lachuma

    IRAN TENA : Soka la Wanawake Iran yachezesha na Wanaume. Yaondolewa kwenye mashindano.

    Inaonekana suala la Mabwabwa lipo sana Iran. Yaani kikosi cha mpira cha team ya wanawake wamechomekwa wanaume wanne humo ndani. Hawa jamaa inaonekana hawana maadili kabisa. Tukiwaambia watu humu JF wanakuwa wabishi na wana leta imani. Haya ni mambo ya ustaarabu mdogo sana. Yaani wakienda...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Kocha mkuu wa Simba Queens ameonekana akimpa maelekezo kocha msaidizi Mgosi wakati pumzi ya moto waliyo kuwa wanapelekewa Yanga Princess

    Video hii inamuonyesha Kocha mpya wa Simba Queens akimpa maelekezo fulani hivi kocha Mussa Mgosi amabye alikuwa kwenye bechi la ufundi katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati yao na Yanga Princess. Hii inaonyesha namna pumzi ya moto ilikuwa inapelekwa kwenye lango la Simba Queens kutoka kwa mabinti...
Back
Top Bottom