soka la ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Michuano ya AFCON kwa kiasi chake ina ladha ya soka la Ulaya

    Ukitizama michuano ya AFCON unapata ladha ya soka la Ulaya kwa kiasi kikubwa kutokana na aina ya wachezaji na team wanazochezea Ulaya. Mfano kikosi cha timu ya Taifa ya Congo chote kinacheza soka la Ulaya kasoro Mayele pekee.
  2. Nomadiq

    Timu tano (5) bora kwa msimu wa 2024/25

    Shalom wakuu. 5. Tottenham Imemaliza mkiani EPL(17), ila inastahili baada ya kutwaa Europa hivyo kuingia UCL. 4. Liverpool The Reds msimu huu wametwaa EPL, walikua bora sana kabla ya kupoteana mwishoni mwishoni. 3. Inter Milan UCL Finalists Coppa Italia Finalists Serie A Runner ups (kwa...
  3. JanguKamaJangu

    Takwimu za Soka la Ulaya wiki hii, Haaland, Guardiola, Nuno, Mbappé

    Erling Haaland ni Mchezaji wa kwanza wa Premier League kuhusika katika Magoli 100 akiwa na chini ya Michezo 100 zaidi. Amefunga Magoli 84 na kutoa Asisti 16 katika Michezo 94 Manchester City imefungwa Magoli 40, ni mengi kwa timu hiyo kuwahi kufungwa ndani ya msimu mmoja katika Premier League...
  4. JanguKamaJangu

    Takwimu mbalimbali za soka la Ulaya wiki hii

    Takwimu za mshambuliaji Lamine Yamal wa Barcelona katika LaLiga, amecheza dakika 1,795, amefunga Magoli 5, ametoa asisti 11. Liverpool ni timu ya kwanza ndani ya Miaka 90 kufunga magoli 2+ katika mechi 18 mfululizo za michuano yote, pia ndio timu ya kwanza kufikisha Magoli 101 ya michuano yote...
  5. Its Pancho

    Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

    I salute you kinsmen. Binafsi nimeanza kufuatilia soka la ulaya muda kidogo Liverpool die hard fans. Lakini tuseme ukweli ligi za ulaya kwa sasa uwezo wa wachezaji umekuwa mdogo sana na hakuna vipaji kabisa asilia yaani ile pure talent hakuna kabisa. Hasa hasa EPL nowdays huwa nafuatilia game...
Back
Top Bottom